Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

kaka nmeisikiliza kwa makini sana,cha muhimu hapa yeye kama kiongozi tena mkubwa ktk kanisa hakupaswa kutoa kaul ya kupinga kile walichokubaliana maaskofu wengine,

Mbona Kwenye Audio amesema Hivi na Wewe Unasema Tofauti

PENGO AMESEMA HIVI
MIMI NI NANI MPAKA NIKAPINGA MAAMUZI YA MAASKOFU



 
RG Forever audio zote nimezisikiliza barabara!!! Una maoni tofauti?

Sasa Tumia Utashi wako kama Binadamu uliopewa na Mungu kuamua kupigia Kura Ya NDIO au HAPANA katiba Iliyopendekezwa... Kama Umeshaisoma

Si Unasubiri Mpaka Mtu Aje Akuambie... Kuna Wengine hata Katiba Pendekezwa Hawaijui inafananaje
 
Kura nitapiga kwa ninavyoona mimi sio kwa kulazimishwa na mtu yoyote..wajinga ndo waambiwe jinsi ya kupiga kura

Hawana Tofauti na Wazee wa Vijijini ambao Hukokotwa Kama Punda Kwenda Kupiga Kura...

Wakiambiwa piga Tick Chama Cha Nyerere wanapiga Tick..... Hata Kama Ufisadi upo
 

Wewe umemtukana Pengo, kama alivyofanya Gwajima, watu wenye high mental power reasoning faculties do not go by ad hominen arguments. Ndiyo maana nikasema inawezekana tukapishana. Si busara kutukana kama ulivyofanya! Hilo limenipa mashaka makubwa!
 
Kupitia GWAJIMA ndio nimepata picha kwanini....waumini wake wengi wapo kama mazezeta....kwa sababu mtu mwenye akili timamu kukaa kwenye nyumba ya ibada ambayo kiongozi wako wa kiroho anaongea mitusi namna tena mbele ya mazabahu.......

Hihhiihii..wanajiweza kumskiliza
 

Maoni ya bwana Pengo ni kwamba...mabalaza ya kikristo yasiingilie uhuru wa waumini wao kwa kuwapangia cha kufanya....waachwe waamue wenyewe kwa utashi wao...kuwataka wapigie kura ya hapana kwa katiba pendekezi ni kuwapora uhuru wao wa kutoa maoni na kuchagua....
 
Pengo kasema lipi baya? Acha upumbavu wewe!!

Acha mapenzi ya kutumia moyo weweee. Pengo ni mtoto wa kiume, agangamalee, mmekalia katukanwaa katukanwa, hilo la usaliti wa wakubwa wenzie mnaona kama Pengo anacheza mdako??? Grow up!
 
Kisha wanajiita magreat thinkers, poor reasoning capacity ndiyo inafanya wawashabikie hata wendawazimu. Kama ilimuuma alishindwa nini kumuandikia waraka?

yani nimesikitika hadi nashindwa kulezea.. wanaosapoti haya matusi. Aijalishi mtu kama kosa gani, hayo matusi yalikuwa mazito sana angeweza kufikisha ujumbe wake ki namna nyingine.
 
Wewe umemtukana Pengo, kama alivyofanya Gwajima, watu wenye high mental power reasoning faculties do not go by ad hominen arguments. Ndiyo maana nikasema inawezekana tukapishana. Si busara kutukana kama ulivyofanya! Hilo limenipa mashaka makubwa!

Narudia! Wewe sijui ndio umetoka Kipalapala juzi, wamekupost mtandaoni?? Mimi nimekuomba usitumie moyo kujadili hii post yako - badala yake unarudi unaleta Liturgical approaches which arent answering or atleast responding to anything. Unadai intellectual supremacy ambayo ni hewa/haipo.
Unadai una integrity you are protecting (kwa argument ipi??) Toa hoja iteteeeeeee, sio unatumia moyo kufikiri!!!
 

Asante Kikulachochako, Asante kwa kunipa hoja ya upande wa alichosema Pengo! Naomba tafadhali unipatie source nami nimsikilize/nimsome Kardinali Pengo. Please kama unayo.
 

Kwa heri I am not going to argue with you, bado unatukana. Kwa heri!
 

Unaionaje hao hao waumini wakiachwa wafanye maamuzi yao ktk maisha yao badala ya kuwaongoza wasifanye baadhi ya mambo kwa kuambiwa eti ni dhambi?
 
ASK.PENGO ASITUDANGANYE !
Mungu ametoa hiari ya kuchagua sambamba na ushauri wa kuchagua JEMA {SOMA KUMBUKUMBU 30:15-19}

Sasa Asikudanganye nn wakati umeleta Kitu Alichokizungumza kwenye Audio yake....
 

Hapa Ndipo Pengo Anawaona Wapuuzi na Msiotumia Utashi... Hao Watu unaowatetea Watapiga Kura Ya HAPANA kisa Tu Eti Mahakama Ya Kadhi haipo..

Mnakuwa Vipofu kwa Mambo Mengine ya Muhimu mnang'ang'ania Mihemko ya Kidini na Kibaguzi...

Inamaana Mahakama Ya Kadhi Ingewekwa Halafu Haki za Binadamu zisiwepo Basi Waislam Wangepiga Kura Za NDIYO..

MTAKUWA NA AKILI ZA MATOPE NYIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…