Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno

Huduma za matibabu hovyo

Dollar hakuna

Umeme hakuna

Huduma ya maji safi ni taabu

Pesa mtaani hakuna

Bidhaa juu, hadi kero

Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo

Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!

Bandari zimemshinda kuzisimamia

Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake

Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii

Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!

Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini

Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?

Vijana wanabuya unga tu na kuwa kama mazezeta, maana yake, awamu hii wauza unga wanatamba tu hawana mtu wa kuwatisha!

Ni tafrani tupu
Samia ni dhaifu,akapumzike tu alee wajukuu.
 
Samia ni dhaifu,akapumzike tu alee wajukuu.
Mimi naona ni awamu iliyo fanikiwa kuliko iliyopita.

Miradi mingi ya kimkakati imeanzishwa na mingine kumaliziwa ya awamu ya tano na ikiendelezwa vizuri.

Bei ya bidhaa kama Korosho , ufuta na Mbaazi kuimalika.

Biashara kuimalika

Ajira zinatangazwa na watoto wa masikini wanaajiriwa

Mzunguko wa pesa kuonekana

Uchumi wa mtu mmoja mmoja kuboreka na huduma za kifedha kuwa Bora zaidi hasa kibenki

Foreign direct Investment imeongezeka na viwanda vipya vinafunguliwa huko Mkuranga na Kibaha

Uboreshaji wa maslahi ya watumishi angalau kidogo

Uhuru wa mawazo na mikutano ya kisiasa umezidishwa

Wakulima angalau wanaona faida

Elimu ya juu pesa imeongezwa.
chawa kama chawa.Angalia usioutombe moto utaungua mavuz.i
 
Chawa
 
Attachments

  • EXlKXaKWsAUBTsp.jpg
    EXlKXaKWsAUBTsp.jpg
    6.5 KB · Views: 1
Mkuu, maumivi kwa magufuli yalikuwa kwa wachache, hasa kwa wale yeye aliamini ni wapinzani wake wakiwamo wafuja fedha n.k

Ila kwa waliokuwa wengi, hawawezi kusikiliza maoni haya Stuxnet
Siwezi kujali kusema ukweli kwa sababu ya kuwafurahisha wengi. Kama mwenyewe unakubali aliwachukia wapinzani na wenye fedha, ina maana Magufuli alikuwa mtu wa HOVYO
 
Petrol inatoka nje ya nchi inanunuliwa kwa fedha ya kigeni, hakuna namna ambayo sisi tunaweza kuwa na utawala wa bidhaa ya kutoka nje, wanaitawala wenye kumiliki hizo biashara na sio sisi.

Huko Lindi wamepata hospitali mpya tangu nchi ipate uhuru, unapowaambia awamu hii ni mbovu inabidi uje na hoja zenye kuingia vichwani mwao.

Kodi huwezi kukwepa kuzilipa iwapo unataka huduma ziboreshwe. Hao wanaotupa misaada wanajinyima matanuzi ili sisi tuweze kuishi, kumbuka hilo kabla hujaendelea kulialia.

Bandari inapata mwekezaji DP World na mwezi Novemba anaanza kazi, kule Mbegani Bagamoyo pia anakwenda kupatikana mwendeshaji mahiri, hiyo sekta ya uchukuzi serikali imejipanga kisawasawa.

Masuala mengi ya kiuchumi yanakwenda kupata ufumbuzi.

Punguza kulialia.

Rubbish, upumbavu kama huu uliouandika ndio imetufikisha hapa.
Ni haki ya kila mtanzania kupata huduma zote za msingi. Ndio maana tunalipa kodi. Badala yake huduma za msingi zinasambazwa kwa upendeleo. Kuna sehemu Tanzania unafika na kujiuliza mara kadhaa: hapa napo ni Tanzania?
Why DPW? Serikali inashindwa nini kununua infrastructure walizonazo DPW na kuzifunga bandarini? Wanashindwa nini kutrain na kuwasimamia wafanyakazi wa bandarini na kuhakikisha kuna mafanikio na kuondoa vitendo vya wizi?
Haya yote ni matokeo ya kulea upumbavu. Magufuli was doing good save that he was a killer and he narrowed and limited corruption channels to his cronies.
 
JK - Bilioni 360 Richmond, Dowans & Escrow (sio hela ya serikali) kwa miaka 10. Mawaziri wakawajibika kwa kujiuzulu

JPM - Tiririoni 3 kwa mujibu wa vitabu vya CAG kwa miaka 5. CAG kafurumushwa. Hakuna waziri aliyejiuzu.

Nani Jambazi? Wa Msoga au Chato?
Mkiambiwa mthibitishe hio trillion 3 ilienda vipi kwa JPM mtaanza kujinyea
 
Serikali dhaifu kupata kutokea toka Tz imeumbwa ni hii ya 6 sijui, ni kama mbwa koko!.
Serikali pekee iliyobariki upigaji, rejea Mama akiwaambia wasaidizi wake (Mawaziri) wale kwa urefu wa kamba zao shingoni!.
Et wale ila wasivimbiwe!.
Sitii neno ila basi tuu. Jiwe lilidondoka tukabaki na tope.
 
Kikwete was the worst president , mama Kajenga shule na hospitals kibao . Ka improve health sectors sana . KIKWETE AMNA KITU AMFANYA 😂😂😂. Alikuwa useless sana .
Ka improve health sector kwa kupandisha gharama za Bima? Yani bima ya Toto Afya kuiharibu na vifurushi vyengine kuvizidisha gharama kama kila mtu ni fisadi vile.
 
Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno

Huduma za matibabu hovyo

Dollar hakuna

Umeme hakuna

Huduma ya maji safi ni taabu

Pesa mtaani hakuna

Bidhaa juu, hadi kero

Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo

Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!

Bandari zimemshinda kuzisimamia

Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake

Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii

Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!

Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini

Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?

Vijana wanabuya unga tu na kuwa kama mazezeta, maana yake, awamu hii wauza unga wanatamba tu hawana mtu wa kuwatisha!

Ni tafrani tupu
FB_IMG_1695347876036.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliosoma seminali utawajwa tu.madai ya kitoto kabisa,ubaguzi utawatafyna,Mama anaupiga mwingi.
 
Mateso Gani ya wananchi kushindwa kipindi kile?

Nitajie raia mmoja aliyenufaika kwa wakati ule?
Una akili gani? Bei ya vyakula sasa ni sawa na wakati ule? Unajua JPM aliacha unga na mchele sh ngapi? Unajua aliacha mafuta bei gani? Serikali imeshindwa kuthibiti mfumko wa bei. Kisingizio cha global issues ni kichaka cha wahuni ku inflate bei ya vitu kuliko uhalisia.

Sasa kama dollar hakuna, mafuta hayashikiki, maji hayaeleweki, na sasa umeme masaa hadi 15 hakuna utasema kuna watu wanafanya kazi? Unajua biashara ngapi zinapepesuka? Au upo kwenye AC office za umma unafikiri kila mtu yupo hivyo?

Umeme kipindi chote cha JPM ulikuwa unakatika kawaida lakini si mgao! JPM alileta mvua? JPM alikuwa na vyanzo vipya vya umeme? Tena si alitimua baadhi ya vyanzo umizi kama IPTL lakini bado nchi ilipata umeme.

Hii nchi imejaa wahuni, hawa wahuni wakikuona legelege wanafanya watakalo na ndio kinachoendelea.
 
Mkuu hiyo ni lugha ya picha
Nikimaanisha taja kundi Moja tulijadili kutokana hoja yake?

Nini maana ya chawa?
Fanyieni kazi kero za wananchi, acheni kuwakamua ili nyinyi muishi kama mko peponi
 
Una akili gani? Bei ya vyakula sasa ni sawa na wakati ule? Unajua JPM aliacha unga na mchele sh ngapi? Unajua aliacha mafuta bei gani? Serikali imeshindwa kuthibiti mfumko wa bei. Kisingizio cha global issues ni kichaka cha wahuni ku inflate bei ya vitu kuliko uhalisia.

Sasa kama dollar hakuna, mafuta hayashikiki, maji hayaeleweki, na sasa umeme masaa hadi 15 hakuna utasema kuna watu wanafanya kazi? Unajua biashara ngapi zinapepesuka? Au upo kwenye AC office za umma unafikiri kila mtu yupo hivyo?

Umeme kipindi chote cha JPM ulikuwa unakatika kawaida lakini si mgao! JPM alileta mvua? JPM alikuwa na vyanzo vipya vya umeme? Tena si alitimua baadhi ya vyanzo umizi kama IPTL lakini bado nchi ilipata umeme.

Hii nchi imejaa wahuni, hawa wahuni wakikuona legelege wanafanya watakalo na ndio kinachoendelea.
Mkuu, sikujua kama chawa ni wapumbavu kiasi kile

Wameambiwa kuupinga ukweli hata kwa matusi
 
Back
Top Bottom