PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hakuna Kwa kukimbilia hapo maana Hilo ongezeko limeanza huku kwetu DStv Toka June 1 ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Kwa kukimbilia hapo maana Hilo ongezeko limeanza huku kwetu DStv Toka June 1 ...
Hivi yale madishi makubwa bado watu hutumia?Manguli tupo 3e, 4w,8e,8w7w,7e,51e,36e,46 na 57e tunafurahia maisha na teknolojia bila stress za kupandishiana vifurushi.
2032Mkataba wa Azam na TFF unaisha lini DStv achukue mikoba,
Dah aisee, hizi long-term contracts ni tatizo sana2032
Bora ungekuwa in dollar terms, hadi mkataba uishe utakuwa umeshuka thamani sanaDah aisee, hizi long-term contracts ni tatizo sana
Kwa hiyo hakuna mabadiliko ya cha 35,000
2030sMkataba wa Azam na TFF unaisha lini DStv achukue mikoba,
Hamna kituKwani dstv walipopandisha vifurushi channel ziliongezeka
Kwa upande wangu mi ni Ligikuu tu (ambayo nitaiangalizia Kibanda umiza), hao wengine watashikwaKwahii addiction ya matamthiliya yao waliyoitengeneza kwa jamii ya wabongo watavuna sana fedha
Na wao walilijua hili competition itakuja kuwa kubwa sana, wakajihami na miaka mingiBora ungekuwa in dollar terms, hadi mkataba uishe utakuwa umeshuka thamani sana
Nawalaumu bodi ya ligi kuchukua pesa bila kuangalia thamani ya pesa kwa muda husika, huu mkataba ulipaswa uwe wa miaka 10 ila thamani ya fedha iwe kwa dollarNa wao walilijua hili competition itakuja kuwa kubwa sana, wakajihami na miaka mingi
YeahHivi yale madishi makubwa bado watu hutumia?
Sio FEAR! basi sawa.Hawa jamaa hawamalizi miezi 6 bila kupandisha bei. Sio fear kabisa.
Kile cha DIGITEC bei gani vifurushi vyao?Hawa jamaa hawamalizi miezi 6 bila kupandisha bei. Sio fear kabisa.
Tanzania ni nchi tajiri, watu wake wana pesaMbona kwa majirani zetu wanawafanyia fair?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwel kabisaNjoo DStv..
Ukilipa cha 60K hutoki ndani
Gharama za decorder na vifurushi zipoje mkuuNunua azamtv ya kenya au malawi ule maisha. Malipo ni kwa mastercard