Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

pilipili usiyoila inakuwashia nini? Au alikwambia umsaidie kuchangia hao ng'ombe na hizo fedha?

Hebu wacheni umbea muendelee na kupambana na maisha yenu ya kutafuta riziki.
 
Barikiwa,nadhani wameelewa
Kisichokufaa wewe mwingine chamfaa
Yaan maisha ya mapenzi siyo ya kupangiana...wewe huwezi wenzako wanaweza...
Yaan mtu kupigwa matukio basi anataka wanaume wote wasimthamini mwanamke ...hapana tunakosea...tukumbuke nasi tulizaliwa na mwanamke aliyechaguliwa na baba
 
Kwa hiyo ulitaka Hamisa asiolewe ? Hayo mambo ya kuzaa yalishapita na sababu ya kuzalishwa ilikuwa ndoa sema jamaa wamemdanganya sana huko nyuma ...Muacheni mtoto wa watu ale maisha .
Its not a matter of mimi kutaka ama la. The issue ni tumeanza sasa kusifu na kutukuza life style ya ukahaba na udangaji.
 
pilipili usiyoila inakuwashia nini? Au alikwambia umsaidie kuchangia hao ng'ombe na hizo fedha?

Hebu wacheni umbea muendelee na kupambana na maisha yenu ya kutafuta riziki.
Wasamehe ndugu yangu. Umaskini mbaya sana na ndio chanzo cha haya yote. Umaskini unaleta chuki na Roho mbaya na mwisho kuzalisha uchawi.

Wengi wa wana JF ni maskini na wanatumia fake ID kutoa stress zao.
 
Poor comment, ukioa bikra ndiyo utakuwa wa maana ila sio vinginevyo.

Azizi K pesa anayo tena nyingi iyo ni power kubwa kuliko unavo weza kuwaza, siyo choko kama unavomfananisha.
Hivi yule Demu wake pisikali balaa ipo wapi?
 
Its not a matter of mimi kutaka ama la. The issue ni tumeanza sasa kusifu na kutukuza life style ya ukahaba na udangaji.
Mwanamke ndiye kachezewa tangu enzi za Majizzo ,unafikiria angefanyaje ?

Mazingira ya kazi zake ndio yanamfanya awe vile ,pia alitegemea ndoa kutoka kwa Diamond ...Ndoa ina raha yake acha aolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…