Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Msichanganye Propaganda na uandishi wa Makalla ndefu za Pascal humu. Ni vitu viwili tofauti
 
WanaJf ni lazima tupendane.

Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.

Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani polepole kaacha ukatibu mwenezi? Akiwa mbunge hawezi kuwa KM?
 
Kafulila hawezi kazi ile.
Polepole ameacha viatu vikubwa sana kwenye nafasi ya karibu uenezi huko CCM.

Mchukie umpende lakini kazi aliiweza kitaalamu hasa, kama vile Dr. Wilbroad Slaa alivyoacha viatu vikubwa sana ukatibu mkuu wa CHADEMA.
Hamna atapatikana tu mwingine,kumbuka nape nauye alipoingia bungeni nakuteuliwa polepole kwa muda mrefu sana poleple akaonekana kashindwa kuvaa viatu vya nape nauye mpaka ilipofika kipindi cha uchaguzi 2020 ndipo walau polepole ali shaini
 
WanaJf ni lazima tupendane.

Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.

Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
kwa maoni yangu anatosha kabisa, bila kujali mleta mada umemaanisha kuleta mada hii au na wewe uko kundi lile lilozoea kudhihaki watu.
 
Unaweza ukawa umewaza sahihi. Kipindi Cha Kampeni kwenye Mona ya vipindi vya ITV Kafulila alitambulishwa Kama muwakilishi wa Katibu Mwenezi, Kama sijakosea!
 
No no no! Nafasi ya Polepole kwa vyo vyote vile itachukuliwa na Halima Mdee kuwa Katibu muenezi, ambaye kasajiliwa kwa Dau kubwa kwenye hilo lichama lenu la Mataga.
 
Back
Top Bottom