mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Ila mnatuumiza sisi tulioweka malengo kwenu .ile hali imeniathiri miaka kibao...nilimpenda toka ndani ya moyo wangu....mpaka kwao walishanijuaa ila niliambulia manyoya tu....Popote ulipo A Mungu anakuona...me nakuombea maisha mema tuLife is full of uncertainties
Mi si naongeaga ukweli?? Ndo uhalisia ulivyo..labda exceptions zipo kwa wale walioolewa kabisa wale baadhi huwa wako real..na labda kama mchumba wako anasomea mahali ulipo so mna meet kila maraKumbe ndio uhalisia
Pole sana mkuu..achia moyo wako uendelee na maisha..huko uliko ndiko Mungu amekupangia kuwaIla mnatuumiza sisi tulioweka malengo kwenu .ile hali imeniathiri miaka kibao...nilimpenda toka ndani ya moyo wangu....mpaka kwao walishanijuaa ila niliambulia manyoya tu....Popote ulipo A Mungu anakuona...me nakuombea maisha mema tu
Unakitu mkuuSijaelewa logic yako ni ipi hapo,si umtie mimba?
Naona signalers mnatoa ripotiBukoba tower, this is headquarter responding, please stand down wait for the backup, i repeat!! do not engage!!!
Huyu binti alikuwa na sifa moja sio nzuri jpo kwa upande wake imemsaidia kifupi ni binti ambaye akili yake muda wote inawaza pesa na mapenzi kwke yanakuja km ziada tu so toka nianze kuwa na mahusiano nae nilitumia muda mwingi kumuelekeza namna mwanamke anavyotakiwa kubehave kw mwanaume na hapo hpo ithiathiri utafutaji wake na mafunzo haya nilikuwa nampa kutokana na misingi ya Imani zetuimani gani hizo anazokuomba umfundishe?
Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.
Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
View attachment 2648377
Hili liko waziHuyo sio wako tena [emoji1787]
CommendAar do you read me?? I repeat do you read me ?? Negative negative abort incoming missileBukoba tower, this is headquarter responding, please stand down wait for the backup, i repeat!! do not engage!!!
Hili liko wazi
CLBD calling you"Bukoba tower, i declare emergency. We gotta fire on board, i repeat we gotta fire onboard."
Nakubaliana nawe 100%Mi si naongeaga ukweli?? Ndo uhalisia ulivyo..labda exceptions zipo kwa wale walioolewa kabisa wale baadhi huwa wako real..na labda kama mchumba wako anasomea mahali ulipo so mna meet kila mara
Hana Mambo mengi anajiweza na hta Kwenye inshu za kunikwamua Kwenye mikwamo hakuwa na shida sababu amepata ajira akiwa na ajiraHapo kanataka ukasaidie kununua vitu vya ndani,gheto likishasheheni mazaga zaga yote kanaanza pozi
mSubir kama utakuwa huna haraka sanaHana Mambo mengi anajiweza na hta Kwenye inshu za kunikwamua Kwenye mikwamo hakuwa na shida sababu amepata ajira akiwa na ajira
Tatizo huo muda wa miaka 5 na hii distancemSubir kama utakuwa huna haraka sana
hApo ndo tatzo,usimuache msubir yeye mwenyew ndo apoteeTatizo huo muda wa miaka 5 na hii distance
Shukrani kw ushaurihApo ndo tatzo,usimuache msubir yeye mwenyew ndo apotee