Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

We utakuwa mwalimu , haya madarasa ya course za walimu yanaongoza Kwa ulimbukeni chuoni na mimba... Wanaoana balaa chuo mpak mtaani
 
Sometime inabidi tukubaliane tu na uhalisia maana hpa tunazungumzia maisha ya mtu, binafi km ningekuwa na kipato kikubwa ningembakisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…