Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.

Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.

View attachment 2648377
ana uhakika wa maisha huyo, na huko anakoenda anaenda kupata mtu bora kuliko wewe. mwanamke aliyekupenda anayependa muoane angekuwa tayari kufunga ndoa ndio aende ili awe na uhakika, huyo anayeahirisha hajakutana na mnyambulisi mwingine aliye bora kuliko wewe. pole.
 
Ungekuwa unapiga pipe vizuri asingekubali kukuacha kwanza mbali, target yake akapate jamaa wakina sisi mapenzi kazi asuguliwe.any way mnaachana kisayansi

Sent using Jamii Forums mobile app
binafsi wife aliacha hadi kazi kwa ajili yangu, na mimi nilikuwa nahitaji hivyo, na ilinipa kazi kutafuta hela ndefu afanye biashara, tumefungua biashara anazozisimamia hapahapa nilipo na anapata pesa nyingi kuliko za kuajiriwa na anaenda kazini muda anaotaka baada ya kuhudumia watoto. siwezi kuishi mbali na mke hata siku moja. huyo angekuwa anampango naye, angesema tuoane tu ndio niende au panga siku ya ndoa ili nirudi tufunge wakati nahangaikia uhamisho.
 
Wapi huko daras la 5 wana wanaume 5??
Mke mwema hawezi kua na maex 5, wote hao wameona nini kwake mpaka wamkimbie halafu wewe ndo umuone mke mwema.

Mwanamke akishapitia mahusiano mengi jua umewaolea maex zake hao, kupasha kiporo kwa mwanamke ambae ulishakua nae kwenye mahusiano ni rahisi sana.

Unataka mke mwema wewe ni mme mwema

Mungu huwa hakosei chochote upandacho ndio utavuna uzuri wa hizi sehemu huwa haziongeii kwamba zimeliwa na wangapii….. ukijua tu kuwa uke ni mpira utatulizanaa
 
Graduates kwangu hapana, wamechezewa sana. Wengi mpaka anamaliza mwaka wa tatu ashakongoroka ni vile vipodozi na ukisasa ndo kidogo vinawafanya waonekane bado wamo wamo.

Umekariri et Kwanza asilimia 99 ukifuatilia harusi nyingi za mjini wanaolewa wengi ni graduates…. Kama sasa hivi ndio wanamalizia malizia mitihani mwezi wa 8 ndoa kama zote

So wewe bado una mawazo ya kizamani kwamba graduates wanaliwa sana

Kuliwa ni kuliwa tu haijalishi nini…
 
ana uhakika wa maisha huyo, na huko anakoenda anaenda kupata mtu bora kuliko wewe. mwanamke aliyekupenda anayependa muoane angekuwa tayari kufunga ndoa ndio aende ili awe na uhakika, huyo anayeahirisha hajakutana na mnyambulisi mwingine aliye bora kuliko wewe. pole.
Hahaha hajakataa kuolewa mkuu Mimi ndio nimeamua kuachna nae sababu moja ya malengo yngu sitaki kuwa mbali na mwenza wangu
 
binafsi wife aliacha hadi kazi kwa ajili yangu, na mimi nilikuwa nahitaji hivyo, na ilinipa kazi kutafuta hela ndefu afanye biashara, tumefungua biashara anazozisimamia hapahapa nilipo na anapata pesa nyingi kuliko za kuajiriwa na anaenda kazini muda anaotaka baada ya kuhudumia watoto. siwezi kuishi mbali na mke hata siku moja. huyo angekuwa anampango naye, angesema tuoane tu ndio niende au panga siku ya ndoa ili nirudi tufunge wakati nahangaikia uhamisho.
Kwahili la Mimi kupanga siku ya ndoa na yy arudi tufunge ndoa yeye yuko tayari Mimi ndio hii changamoto yakuwanaye mbali ndio inanishnda
 
Back
Top Bottom