Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
- Thread starter
- #201
HakikaKHERI WEWE MUNGU KAKUONESHA MAPEMA. KIMBIAAAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaKHERI WEWE MUNGU KAKUONESHA MAPEMA. KIMBIAAAAA
Duhtatizo lako haupigi mashine vizuri,umeachwa kisayansi jielewe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokupiga mashine vzuri na yeye kutakiwa kuripoti kituo chake Cha kazi vinahusiana ninitatizo lako haupigi mashine vizuri,umeachwa kisayansi jielewe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unapiga pipe vizuri asingekubali kukuacha kwanza mbali, target yake akapate jamaa wakina sisi mapenzi kazi asuguliwe.any way mnaachana kisayansiKutokupiga mashine vzuri na yeye kutakiwa kuripoti kituo chake Cha kazi vinahusiana nini
InawezekanaUngekuwa unapiga pipe vizuri asingekubali kukuacha kwanza mbali, target yake akapate jamaa wakina sisi mapenzi kazi asuguliwe.any way mnaachana kisayansi
Sent using Jamii Forums mobile app
Fimbo ya mbali haiui nyokaMpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.
Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
View attachment 2648377
ana uhakika wa maisha huyo, na huko anakoenda anaenda kupata mtu bora kuliko wewe. mwanamke aliyekupenda anayependa muoane angekuwa tayari kufunga ndoa ndio aende ili awe na uhakika, huyo anayeahirisha hajakutana na mnyambulisi mwingine aliye bora kuliko wewe. pole.Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.
Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
View attachment 2648377
binafsi wife aliacha hadi kazi kwa ajili yangu, na mimi nilikuwa nahitaji hivyo, na ilinipa kazi kutafuta hela ndefu afanye biashara, tumefungua biashara anazozisimamia hapahapa nilipo na anapata pesa nyingi kuliko za kuajiriwa na anaenda kazini muda anaotaka baada ya kuhudumia watoto. siwezi kuishi mbali na mke hata siku moja. huyo angekuwa anampango naye, angesema tuoane tu ndio niende au panga siku ya ndoa ili nirudi tufunge wakati nahangaikia uhamisho.Ungekuwa unapiga pipe vizuri asingekubali kukuacha kwanza mbali, target yake akapate jamaa wakina sisi mapenzi kazi asuguliwe.any way mnaachana kisayansi
Sent using Jamii Forums mobile app
Khakhakhaaaa!!Bwana alitoa na bwana ametwaa!
Imeisha hio!!!
KabisaUmngoje 5 yrs? Ni duru ya uchaguzi hiyo?
Yeye sidhani Kama atakungoja.
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Wapi huko daras la 5 wana wanaume 5??
Mke mwema hawezi kua na maex 5, wote hao wameona nini kwake mpaka wamkimbie halafu wewe ndo umuone mke mwema.
Mwanamke akishapitia mahusiano mengi jua umewaolea maex zake hao, kupasha kiporo kwa mwanamke ambae ulishakua nae kwenye mahusiano ni rahisi sana.
Graduates kwangu hapana, wamechezewa sana. Wengi mpaka anamaliza mwaka wa tatu ashakongoroka ni vile vipodozi na ukisasa ndo kidogo vinawafanya waonekane bado wamo wamo.
[emoji1787]Bwana alitoa na bwana ametwaa!
Imeisha hio!!!
Hahaha hajakataa kuolewa mkuu Mimi ndio nimeamua kuachna nae sababu moja ya malengo yngu sitaki kuwa mbali na mwenza wanguana uhakika wa maisha huyo, na huko anakoenda anaenda kupata mtu bora kuliko wewe. mwanamke aliyekupenda anayependa muoane angekuwa tayari kufunga ndoa ndio aende ili awe na uhakika, huyo anayeahirisha hajakutana na mnyambulisi mwingine aliye bora kuliko wewe. pole.
Nimechukua hiiFimbo ya mbali haiui nyoka
Ngoja ngoja huumiza tumbo
Likuepukalo lina shari yake
Kidole kimoja hakivunji chawa
Kwahili la Mimi kupanga siku ya ndoa na yy arudi tufunge ndoa yeye yuko tayari Mimi ndio hii changamoto yakuwanaye mbali ndio inanishndabinafsi wife aliacha hadi kazi kwa ajili yangu, na mimi nilikuwa nahitaji hivyo, na ilinipa kazi kutafuta hela ndefu afanye biashara, tumefungua biashara anazozisimamia hapahapa nilipo na anapata pesa nyingi kuliko za kuajiriwa na anaenda kazini muda anaotaka baada ya kuhudumia watoto. siwezi kuishi mbali na mke hata siku moja. huyo angekuwa anampango naye, angesema tuoane tu ndio niende au panga siku ya ndoa ili nirudi tufunge wakati nahangaikia uhamisho.
Ningije miaka mitano thn ntoke patupu.Ndiyo bas tena
Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.
Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
View attachment 2648377