SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kama upuuzi anaopost Lucas Mwashambwa unatia kinyaa, na nilishamuonya kuwa Bimkubwa hapendi hizo akakomaa tu na kuweka namba zake za simu kwenye machapisho yake uchwara akiamini atalamba teuzi.Kuna sifa mtu unapewa mpaka aibu unaona wewe. Kuna levels flani za ulambaji miguu zinatia kinyaa
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Kwakweli katika mahali alifeli ni pale alipoweka number za simu!Kama upuuzi anaopost Lucas Mwashambwa unatia kinyaa, na nilishamuonya kuwa Bimkubwa hapendi hizo akakomaa tu na kuweka namba zake za simu kwenye machapisho yake uchwara akiamini atalamba teuzi.
Huwezi kumuona hapaLukas Mwashambwa yupo?
Hii nukuu ya marehemu imekaa vizuri sana
Lukas mwashamba hili ni lofa tu!Lukas Mwashambwa yupo?
Tuna haja ya kuendelea kujaza maarifa katika vichwa vyao ili wajue wajibu wao kama watawaliwa!Lukas mwashamba hili ni lofa tu!
Ni kweli mawazo tu ndo yakaletwa na mtu mmoja.Lakini utekelezaji lazima uhuzishe jamii mzima.Mh kasema kweliWana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.
Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.
Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Chakaza unaliona punguani hili? Unafiki wa Bashiru upo wapi? Badala ya kusema Bashiri si mnafiki anapuyanga ati ni mnafikiBashiru amezoea siasa za unafiki alizokuwa anazifanya katika chama cha CUF ambacho ni chama mshirika na CCM.
Boss kaona uchawa unavuka mipaka😂😂😂.Wapambe wanasifia sana hadi boss kachukia 😂
Miongoni mwa watu hao waliomdhalilisha Dr Bashiru ni wakili msomi Paschal Mayalla kudai kwamba ana siri kwamba sio raia wa asili mpaka akataja anatokea kijiji cha Ibwera ambacho kuna mwa JF mmojawapo alimkosoa na kurekebisha kwamba Dr Bashiru ni raia halisi wa Tanzania kutoka Kagera kijiji kinachoanzia na herufi "K"Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.
Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.
Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Tuna watu hovyo kabisa katika taifa hili hasa nikimsikiaga wazili flani anavyo msifia mama huwa ninashikwa na kichefuchfu wazili mwenyewe alijiandika kwenye mamoma (au miamba) toka kusini mpaka kaskazini na mashaliki mpaka maghalibi iti achaguliwe rais? Poyoyo kweliKuna sifa mtu unapewa mpaka aibu unaona wewe. Kuna levels flani za ulambaji miguu zinatia kinyaa
Kwangu Mimi Dk. Bashiru ( MP na CCM Cadre ) Ali ni a Hero and Genius ila UVCCM na huyo Dar es Salaam RC ni Sycophants, Morons, Mental and Hypocrites wa Kiwango cha Kimataifa na Kilichothibitika.Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.
Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.
Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Uko sahihi kabisaKwangu Mimi Dk. Bashiru ( MP na CCM Cadre ) Ali ni a Hero and Genius ila UVCCM na huyo Dar es Salaam RC ni Sycophants, Morons, Mental and Hypocrites wa Kiwango cha Kimataifa na Kilichothibitika.
Uvccm na chawa wapumbafu utaona watakavyo piga uturn huta amini kama ndio wao waliokuwa wanamshambulia Dr.bashiru.Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.
Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.
Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Mimi si CCM kuna mambo ya Rais Samia nimeyapenda lakini si hili la sifa za kihunihuni! Nilikuwa namshangaa Rais kutozishtukia hekaheka za machawa wakimwagia sifa hata pasipostahili. Sifa za bandia za kusaka teuzi mbalimbali.Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.
Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.
Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Ukiwa na Akili nzuri utawagundua wanaojaribu kukuvisha kilemba cha ukoka !! Ili tu wao wapate wakitakacho !! Inasemekana watu wanaoishi visiwani wana Akili nyingi kwa sababu ya kula sana Samaki tangu wakiwa wadogo !! Huo ni utafiti wa kisayansi sio utafiti wangu wajameni 😅Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.
Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.
Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Watu wa pwani huwa hawapendi kuvishwa vilemba vya ukoka !!Wapambe wanasifia sana hadi boss kachukia 😂
[emoji38][emoji38]Halafu hawa jamaa wasivyo aibu, usije kuta wakaandamana kupongeza hiyo hotuba [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app