Baada ya Kauli ya Rais Samia, Waliomtukana Dkt. Bashiru wamuombe radhi

Kuna sifa mtu unapewa mpaka aibu unaona wewe. Kuna levels flani za ulambaji miguu zinatia kinyaa
Kama upuuzi anaopost Lucas Mwashambwa unatia kinyaa, na nilishamuonya kuwa Bimkubwa hapendi hizo akakomaa tu na kuweka namba zake za simu kwenye machapisho yake uchwara akiamini atalamba teuzi.
 
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
1669708806083.png
 
Kwakweli katika mahali alifeli ni pale alipoweka number za simu!
Mh. bashe alilamba uteuzi wakati wa JPM sababu ya umahiri wake katika kujenga hoja na kuibua mambo ambayo sekta ya Kilimo ilikua inakwama.
Wakamwambia kafanye wewé sasa .
 
Lukas mwashamba hili ni lofa tu!
Tuna haja ya kuendelea kujaza maarifa katika vichwa vyao ili wajue wajibu wao kama watawaliwa!
Hata Yesu mwenyewe alikataa kusifiwa pale alipoambiwa
MWALIMU MWEMA akajibu hakuna aliye MWEMA Ila baba wa mbinguni
-Heri Tumbo lililokuzaa na matiti ulinyonya akajibu Wana hero wanaosikia neno langu
 
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.

Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.

Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.

Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Ni kweli mawazo tu ndo yakaletwa na mtu mmoja.Lakini utekelezaji lazima uhuzishe jamii mzima.Mh kasema kweli
 
Bashiru amezoea siasa za unafiki alizokuwa anazifanya katika chama cha CUF ambacho ni chama mshirika na CCM.
Chakaza unaliona punguani hili? Unafiki wa Bashiru upo wapi? Badala ya kusema Bashiri si mnafiki anapuyanga ati ni mnafiki
 
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.

Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.

Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.

Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Miongoni mwa watu hao waliomdhalilisha Dr Bashiru ni wakili msomi Paschal Mayalla kudai kwamba ana siri kwamba sio raia wa asili mpaka akataja anatokea kijiji cha Ibwera ambacho kuna mwa JF mmojawapo alimkosoa na kurekebisha kwamba Dr Bashiru ni raia halisi wa Tanzania kutoka Kagera kijiji kinachoanzia na herufi "K"

Pamoja na kuwa ni mwandishi mwandamizi, mwana sheria na wakili msomi Paschal anatakiwa kusafisha heshima yake kwa kuomba radhi kwa dokta Bashiru. Mchango alioutoa ulikuwa unaonesha chuki za kutopendekezwa ugombea ubunge Kawe na nyadhifa zingine kama aliwahi kuzitamani kuteuliwa kwazo.

*The learned counsel and prominent journalist Paschal Mayalla come out and apologize public for personally attacking Dr. Bashiru that he was likely originating from the neighborhood country without substantial cause
 
Kuna sifa mtu unapewa mpaka aibu unaona wewe. Kuna levels flani za ulambaji miguu zinatia kinyaa
Tuna watu hovyo kabisa katika taifa hili hasa nikimsikiaga wazili flani anavyo msifia mama huwa ninashikwa na kichefuchfu wazili mwenyewe alijiandika kwenye mamoma (au miamba) toka kusini mpaka kaskazini na mashaliki mpaka maghalibi iti achaguliwe rais? Poyoyo kweli
 
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.

Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.

Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.

Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Kwangu Mimi Dk. Bashiru ( MP na CCM Cadre ) Ali ni a Hero and Genius ila UVCCM na huyo Dar es Salaam RC ni Sycophants, Morons, Mental and Hypocrites wa Kiwango cha Kimataifa na Kilichothibitika.
 
Utasikia[emoji116]
Mama hapendi sifa, lakini kazi zake mnaona.

Hawa watu walifaulu sana somo la upigaji riverse.
 
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.

Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.

Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.

Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Uvccm na chawa wapumbafu utaona watakavyo piga uturn huta amini kama ndio wao waliokuwa wanamshambulia Dr.bashiru.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.

Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.

Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.

Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Mimi si CCM kuna mambo ya Rais Samia nimeyapenda lakini si hili la sifa za kihunihuni! Nilikuwa namshangaa Rais kutozishtukia hekaheka za machawa wakimwagia sifa hata pasipostahili. Sifa za bandia za kusaka teuzi mbalimbali.
Sifa za namna ile ni za kumdhalilisha mhusika, kumfanya mjinga!
 
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.

Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.

Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.

Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Ukiwa na Akili nzuri utawagundua wanaojaribu kukuvisha kilemba cha ukoka !! Ili tu wao wapate wakitakacho !! Inasemekana watu wanaoishi visiwani wana Akili nyingi kwa sababu ya kula sana Samaki tangu wakiwa wadogo !! Huo ni utafiti wa kisayansi sio utafiti wangu wajameni 😅
 
Back
Top Bottom