Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Kwa maneno yake,body language ...ni dhahiri naye ana homa 2025 ,Tena ipo juu!
Yeye ni Raisi. Hawezi zungukwa na wasaidizi wasiomsaidia kazi kwa sababu wanataka uraisi 2025. Kuna miaka 2 ya kuipagina taifa kabla ya 2025.
 
Umeongea kwa kumumunya maneno, kama si hivyo basi umeongea "kisiasa"!

Manaibu mawaziri hao wana makosa gani?

Ushasikia manaibu mawaziri kushiriki vikao vya baraza la mawaziri, sasa hapo wanahusikaje na lawama za utendaji mbovu?

Semea mawaziri kamili na kutaja wizara zao kama ulivyotaja na uwataje kwa majina bila kumumunya maneno.

Una muogopa nani kwa Id fake? Express your self, mwagika mwanangu uusemee moyo!
 
Mpeni uspika Mh Stephen Maselle
. U PM urudishe huko huko kusini somewhere. .good politics.
 
January ni chaguo la Kikwete ila mama ni lazima ampige chini Kwani hana manufaa
Uzuri ni kwamba Samia anapitia mitandaoni, jana nimeamini kwa hotuba ile.

Jinsi Makamba anavyolalamikiwa toka kila kona ya nchi, nitamshangaa sana akimwacha kuendelea kukalia ofusi ya wizara hiyo muhimu.

Kama anapenda kuendelea kumbeba ni bora akampeleka hata wizara ya utamaduni!

Lakini wizara ya Nishati inataka mtu serious asiye na chembe ya mashaka toka kwa umma.
 
Nchi yetu inahitaji service delivery sio mihemko hii ya kila wakati,my President please punguza cabinet yako to 15 minister's,hawa ni rahisi to manage them,sign them performance contract,ondoa RCs wote na bakisha wataalamu kuongoza idara chini ya RDD,hii itasaidia kupunguza matumizi ya serikali na kupeleka fedha nyingi za maendeleo hasa huku Lingusenguse ambako muda mrefu kumesahaulika kwa muda mrefu mno.
Umegusia kwa sehemu conviction yangu.To me Ministers,RCs,DCs na Halimashauri ni wastage of resources na avenues za kuleta misuguano tu kazini na hivyo kurudisha maendeleo ya wananchi nyuma bure.Halimashauri specifically zimekuwa umiza kichwa,zifutwe.Ministers,RCs na DCs nao are there for political reasons,hawana umuhimu wowote katika kuwapatia wananchi maendeleo.Posts hizo nazo zifutwe.
 
Back
Top Bottom