Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

Kisu gani? Kimegongaje?
 
Sasa hayo maelezo mbona yako wazi na yanaeleweka, yaani kutangaza vivutio Kwa mwekezaji imekuwa dhambi?
 
Kama mwananchi niliyekuwa nikifuatilia hoja kwenye mitandao ninauliza;
Wanaosemekana kupata pesa toka kwa mwarabu wameshawarudishia pesa yao?.
Mkataba wa IGA umefutwa?(Ili baada ya kushinda zabuni uandikwe wenye maslahi kwa pande zote)
Sijui Tamko la TEC lilieleweka au hoja zimepuuzwa na kutafutiwa mbadala huu?.
Si tulishaambiwa " Hivi mnadhani Watanzania ni wajinga?"


Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hebu walete kwanza hiyo tenda iliyowapa DP world ushindi na toune walishindanishwa na nani.
Kama haupo basi ni dhahiri kuwa hiki wanachofanya ni danganya toto kuzuga baada ya mwizi kufumaniwa.
Tunashindwa kesi kwenye mahakama za usuluhishi kila uchwao na serikali kulipa fidia pesa nyingi za walipa kodi na hili wanalofanya ni kwa gharama yetu wenyewe kulipa fidia huko mbeleni kama ule mkataba walioupitisha bungeni hautaondoshwa.
Mkaidi hafaidi hata siku ya Idd. Ukaidi uliosumumwa na rushwa kwenye uwekezaji ndio unaotugharimu kulipa matrilioni ya shilingi kwa kila kesi inayofunguliwa. Na hakuna mpumbavu yeyote aliyewajibika kwa hizi kesi zote ikimaanisha kuwa kuna ushirika wa genge la watawala kula njama za hizi hujuma.
Kama sii njama kuhusisha ofisi kuu ya nchi inayowajibika kuwawajibisha wahujumu ni nani aliyewajibishwa?
Mikataba iliingiwa na maamuma? Watu wasio onekana?
 
IGA KATI YA DUBAI NA TANZANIA NASEMAJE KUHUSU BANDARI ZETU??

LABDA HIYO TENDA INATANGAZWA KWA NIABA YA DUBAI SISI TUTAJUAJE? SISI TUNAANGALIA IGA INAVYOSEMA, STORI NYINGINE YOYOTE NI NGONJERA
 
Mngeendelea kuishupazia shingo TEC na ilivyojipanga ni zaidi ya ccm ya lowasa

Tundulisu mkatolic yule ,pangeiva
Tundu lissu mkatolic, nauliza hivi chadema walivyompiga risasi lissu Tec walimsaidia nini mkatolic mwenzao?
 
Sasa hayo maelezo mbona yako wazi na yanaeleweka, yaani kutangaza vivutio Kwa mwekezaji imekuwa dhambi?
Unajua maana ya neno shall, will na may katika muktadha wa sheria? Kama hujui mtafute mwanasheria akuelimishe. Huu sio mkataba wa kitchen part na Dj . Ni legal agreement!
 
Tundu lissu mkatolic, nauliza hivi chadema walivyompiga risasi lissu Tec walimsaidia nini mkatolic mwenzao?
Two wrongs can never make it right, darkness can never drive away darkness, only light can do!

Attempting murder is not the same as entering stupid contract or agreement! Shule ulienda kufanya nini?

Kwamba kama hukufanya vizuri Jana Leo Usifanye vizuri au kujaribu kufanya vizuri?

Na unaposema chadema walimpiga risasi Tundu lissu Ina maana una uhakika na taarifa zako, Kwa maana tunaamini zimetokana na vyombo vya kidola vya uchunguzi, swali
1. Kwanini mpaka leo chadema hawajakamatwa na Jeshi la polisi

2. Kwanini mpaka leo hawajashtakiwa Kwa kujaribu Kuua na kuharibu Mali?

2. Kwanini mpaka leo hawajashtakiwa Kwa kuondoa ulinzi eneo la makazi ya viongozi hasa speaker ili kutekeleza azma yao ya kumuua Tundu Lisu?

3. Kwanini wasilaumiwe Kwa kumpora ubunge na kuukataa kumpa au kumhudumia matibabu?

Kama huna majibu ya maswali haya wewe ni mbea na ni aibu Kwa familia yako na ukoo wako hasa watoto wako
 
Uingereza walimpa bandari zao zote?

Mkataba waliosaini uingereza ni sawa na huu tuliosaini sisi wa vipengele vy kipumbavu?

Kuwa na umiliki wa meli nyingi duniani ndio uwe mlango wa kusaini mikaytaba ya kisenge??
 
Ninauhakika kabisa wew akili yako ni ndogo sana ukilinganisha na hao jamaa waliotoa huo walaka., pia nina uhakika hujuwi historia na siasa za Taifa hili kwa undani.
 
Ngoja kwanza tuweke akiba ya maneno, inawezekana TPA waliwainfom Dubai kuomba ruksa kwa hili Dubai waliwapa green light 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…