Na hapa ndipo wengi tuungane na Prof. Assad aliposema kuwa hatakwenda kupiga kura hadi hapo mfumo wa uchaguzi utakapomhakikishia kuwa kura yake inahesabiwa. Kama tunaamua kuishi kwa kutokutumia akili basi na tumpuuze profesa!Mimi nadhani Lissu atatoka mapema tu. Wamemfanya inconsequential. Atajaza watu kwenye mikutano ya hadhara lakini at the end of the day Bunge lijalo halitakuwa na mbunge hata mmoja wa Chadema. Aidha, hakuwa na diwani hata mmoja wa Chadema. Aidha, hawatakuwa na kura hata moja ya mgombea urais. Kwa hiyo 2025-2030 platform zao zitakuwa mitandao na mikutano ya hadhari. Ruzuku pia haitakuwepo kwa hiyo itabidi wafanye juhudi za ziada za kupata fedha za kuendesha chama. By 2030 wale walioingiza watu wao Bungeni watakuwa katika nafasi nzuri ya ku challenge kwa ajili ya ubunge, udiwani na urais. Nawatakia kila la kheri.
Amandla...
Baada ya kuanza maridhiano walipokea ruzuku. Ruzuku ndio iliyowasaidia kununua jengo lao la Makao Makuu.Unapaswa kufahamu unaongea na mtu timamu. Hizo kura za wabunge wa viti maalum nani alikua anazitaka chadema??
Chadema chini ya mbowe baada ya uchaguzi walisusia matokeo, hivyo wakasusia hata nafasi za viti maalum ndio maana waliofanya uhuni kuchukua hizo nafasi walifukuzwa uanachama. Pia chadema chini ya mbowe baada ya uchaguzi walisusia ruzuku, hawauchukua ruzuku
Sikuwahi kujua anayepaswa kuikosoa ccm ni lazima awe msemaji wa chadema. Kwa hiyo hapo zamani walipokua wanaikosoa ccm walikua ni wasemaji wa chadema?Ulitaka waite presa kuikosoa CCM wakati wao sio wasemaji wa CDM?
Sishangai kuwa hukuona kebehi ( G Njaa n.k.) walikuwa wakirushiwa maana hata matusi na kejeli alizotupiwa Mbowe hukuziona.
Sasa kwa vile wametoka CDM wataeleza criticism zao dhidi ya CDM na CCM maana vyama vyote hivyo vitakuwa wapinzani wake.
Amandla...
Hawana Impact hata wakati wa uwepo wao hakuna ambacho walibadili ndani ya Chadema. Kama kuna mtu anadhani Chadema itayumba kwa kuondoka kwake…. Anakosea sana na hana akili.Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
View attachment 3326841
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
View attachment 3326835
Soma pia:
Ikuaa wazi, Lissu lengo lake ilikuwa kuishambaratizha Chadema.Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
View attachment 3326841
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
View attachment 3326835
Soma pia:
We mbogamboga acha uchawa lissu ni kichwa kilemalengo ni yapi? sasa hivi heche kanyamaza kimya, prado nimezima wese hamna, kwa ujinga wako unaamini Lissu ana nia njema na cdm? ngoja uone
Ruzuku waliyopokea ilisaidia kununua jengo lao? Hilo ni kosa la nani kutonunua jengo miaka yote hiyo?Baada ya kuanza maridhiano walipokea ruzuku. Ruzuku ndio iliyowasaidia kununua jengo lao la Makao Makuu.
Kama Chadema walikuwa hawazitaki kura za wabunge wa viti maalum isingegombea. Waliwafukuza wakina Halima kwa sababu waliona wamefanyiwa uhuni na sio kwa sababu hawakuvitaka hivyo viti.
Amandla...
KabisaHawa walikuwa kama zigo la mavi
cha chini au cha juu?We mbogamboga acha uchawa lissu ni kichwa kile
Walikuwa viongozi ndani ya Chadema.Sikuwahi kujua anayepaswa kuikosoa ccm ni lazima awe msemaji wa chadema. Kwa hiyo hapo zamani walipokua wanaikosoa ccm walikua ni wasemaji wa chadema?
Wataeleza criticism zao kwa cdm na ccm? Huko watapoenda Wao watapambana na chama dola au chadema? Wataeleza criticism za chadema ili ziwasaidie nn? Wabunge waliopo majimboni ni wa ccm, Sasa wataicriticize vipi chadema?
Mgawanyiko upi hao wazee wa 10% percent na bia za bure ndo mgawanyiko kuwa serious bwana hawana effect yoyote ilehaaya bwana sasa mmegawanyika....... Lisu angeliweza kuzuia mgawamyiko kwa kuwa inclusive!
Hata siielewi hoja yako.Ruzuku waliyopokea ilisaidia kununua jengo lao? Hilo ni kosa la nani kutonunua jengo miaka yote hiyo?
Msimamo wa chadema baada ya uchaguzi ni kutoyatambua matokeo ndio maana hawakupeleka majina ya wabunge wa viti maalum.
Sababu za kuondoka wameshazisema, ndio nauliza watapohamia na kushiriki uchaguzi wataikosoa chadema ili wapate kitu gani?Walikuwa viongozi ndani ya Chadema.
Watakuwa huru kukosoa Chadema kwa sababu wote watakuwa wanataka kushika dola. Watakuwa na haki ya kueleza wapiga kura sababu zao za kuondoka Chadema. Wataikosoa CCM kwa sababu ndio chama dola. Kukoselewa sio lazima uwe mbunge. Uongozi wa chama pinzani ni fair game.
Amandla...
Imekufaje kisa hao wanywa bia na nyama za bureChadema imeshakufa...
Mkuu, inategemea walipokuwa wakisema ^chama,^ walimaanisha chama gani hasa.Na Kwenye kampeni za uenyekiti wa Chadema walikuja na kauli mbiu "Hakuna kuhama chama" kauli umewabadilikia.