Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Ndio hicho nakwambia fuatilia facts zako mambo ya utajiri / mali za ukoo zinaenda kupungua polepole kampuni ikishakuwa a plc hapo ni shares na usishangae kampuni yako mwenyewe watu wanaku overturn na kukuondoa na kinachobakia kwenye kampuni ni jina lako lakini sio a majority share holder.Hamna mahali nalazimisha mtoto afuate ninachopenda, tajiri number 1 india, ule ni utajiri wa familia.
About 79% ya uchumi india unaendeshwa kwa generational wealth
Wenye hizo campuni ndio wameajiri watu wengi zaid.
Na watu wenye akili ni kwamba unaachiwa shares lakini sio necessarily day to day management of a company sababu umahili na busara ya kuendesha Kampuni haipo kwenye damu (DNA) bali ufanisi wa mtu husika
Zamani kampuni ikishakuwa Mashaka and Sons basi ndio hivyo kizazi na kizazi ila unavyoipeleka na kuwa a plc (ambazo ni kampuni nyingi kubwa duniani katika kujaribu kuongeza mitaji) hio ni fair game mkicheza huenda generation zijazo mkajikuja wala sio majority shareholdersKwamba enzi za kukabidhi makampuni kwa kizazi kinachokuja unaisha? Nani kasema?
Kama nilivyokwambia ukishakuwa a PLC it's fair game; na kabla sijafika mbali kajisomee kuhusu corporate raiding katika miaka ya 70 mpaka ya 90 na jinsi kampuni za familia zilivyokuwa hijacked na wadau....; In today's cut throat age and competition it is hard to keep it in the family; na kama nilivyosema ukiwa na busara utatengeneza trusts za ku guarantee familia yako inapata mgao na sio necessarily running of the businessAsian bado wako pale pale, na ni moja ya driving factors za uchumi wao.
Japokuwa wanazo nyingi
Europe haswa germany bado wana same tradition
Ford Motor Company is publicly traded and owned by shareholders, but the Ford family maintains significant control through a dual-class stock structure. While the public owns the common shares, the Ford family holds the Class B shares, which represent a small percentage of the company but have a disproportionate amount of voting power. According to The Motley Fool, the Ford family controls roughly 40% of the voting rights. William Clay Ford Jr., a member of the Ford family, is the current chairman of the companyMarekani pia some families akina ford motors, walmart, still zina run kwa line age yao
The Waltons are the richest family in America thanks to their stake in Walmart, the world's largest retailer by sales. An estimated 45% of Walmart's stock is held by the families of seven heirs of founders Sam Walton (d. 1992) and his brother Bud (d. 1995)
And for your Information ikishatokea hivyo katika a Public traded company theoretically they can over run your shares au wasikuchague kama CEO....
Hivi unajua mzigo na kazi ya kupewa mantle ya kuendeleza mali ya vizazi na vizazi..., wengi hii kazi huwa inawashinda na wanapata stress au hata wengine kukosa raha sababu ukishinda ni it is okay na ukefeli ni kwamba kampuni imekufa kwenye mikono yako Hivi unadhani CEO wa the oldest Company in the world - Kongo Gumi; alijisikia vipi pale ambapo kampuni ya karne na karne ilikuwa ifie mikononi mwake...Sikejeli ambao hawataki kupita hiyo path, but naimagine if wazazi wengi wangeji commit kwa hilo?
Je watu wengi wanengeendelea kutoa milio ya umaskini?
The last CEO of Kongo Gumi before its acquisition was Masakazu Kongō. He witnessed the failure of the company, which had been in his family for 1,400 years, due to mounting debt and declining demand for temple construction,
NB: Mzazi alaumiwe kwa kushindwa ku provide basic needs na elimu na kujaribu kufanya all that he / she can for the best of his / her children wakati wanakua na sio kwanini vyote alivyonavyo / alivyotafuta hakuwaachia watu hata ambao hawana shukrani na wanaona ni Haki yao...