Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
hayo maneno mawili yanaenda kwa pamojaUkiwa mfia dini ni lazima uwe na matatizo ya akili
Huwezi kunisaidia. Mtu anaweza kukuuliza swali kutaka kufahamu au kujua uelewa wako. Unasema Mtu anatakiwa ágawe mali akiwa hai, nimekuuliza 'anatakiwa' na naniUna shida mahali? Kama ndiyo kua specific shida ni ipi ili nione kama naweza kusaidia.
Kakudanganya nani ? Kama utaki usinge zaa very simple.Urithi ni zawadi siyo lazima.
Sasa mm na ww tuna uhakika gani, Kama hao watoto wanaolalamika mzee hakuwarithisha Mali nyingine??? Fikiria Wenda mzee hakuwa na nyumba moja au Mali hiyo tu. Labda tamaa zao za kutoridhika ndizo zinawasumbuaurithi ni haki ya mtoto hata bibilia imesisitiza nyumba na mali mtoto anapaswa apewe na baba yake
pia bibilia imesisitiza ni lazima baba aache urithi kwa wanawe
Sasa mm na ww tuna uhakika gani, Kama hao watoto wanaolalamika mzee hakuwarithisha Mali nyingine??? Fikiria Wenda mzee hakuwa na nyumba moja au Mali hiyo tu. Labda tamaa zao za kutoridhika ndizo zinawasumbua
Si ndio ushangae ukafaidishe mashekhe na familia zao watoto wako na wajukuu zako wapo hohehahe kisa unaamin sijui utaenda peponimagine bei ya viwanja kariakoo ilivyo.. hata viongozi wa huo msikiti uliopewa wakfu wanachekelea,,, utapokea ardhi hiyo na kujenga fremu nyingi kisha Imamu na bakwata wanakula hela za kodi tu na familia zao,, huku watoto wa mzee wanakula dagaa
Si ndio ushangae ukafaidishe mashekhe na familia zao watoto wako na wajukuu zako wapo hohehahe kisa unaamin sijui utaenda pepon halaf kwa umri huo huyo mzee akili sio zake banaimagine bei ya viwanja kariakoo ilivyo.. hata viongozi wa huo msikiti uliopewa wakfu wanachekelea,,, utapokea ardhi hiyo na kujenga fremu nyingi kisha Imamu na bakwata wanakula hela za kodi tu na familia zao,, huku watoto wa mzee wanakula dagaa
Acha bhangi,yaani mali yake mwenyewe ashirikishe watoto vp?Lazima ashirikishe watoto wake katika kila jambo
Inawezekana mzee amezaa ndezi sasa anaona ataacha vita kwenye familia. Mzee anaitaka mbingu ndiyo maana katoa kwa msikiti! Halafu mbona maelezo ni tofauti na ulivyoielezea wewe pimbi wewe!je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Hata wewe ukipewa zawadi, hulazimiki kuitoa hiyo zawadi kwa mtu mwingine. Ukirithishwa, hulazimiki kurithisha. Vyovyote unavyokuwa umepata mali, haulazimishwi kurithisha. Ni wewe ndio uamue tu kugawa, kurithisha au kufuja.Yeye mwenyewe huyo mzee hapo kariakoo hajanunua hilo eneo. Bali alirithi kutoka kwa wazazi wake. Kwa nini na yeye hataki generation yake irithi tena kama yeye alivyorithi
Hapo mngegawana majengo ya serikali baba yako angeenda mochwari wewe jela.Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibla bila shuruti.
Hao viongozi wa msikiti wakipokea hio zawadi sio sahihi mna huwezi kuwaacha watu wako masikini wakati ww mali unazo
Mtume alimkataza swahaba alotaka atoe mali yake yote swadaka akaambiwa je unataka kuwaacha watu wako katika umasikini? Hadithi ni ndefu na kama hao viongozi wa msikiti wanalijua hili basi hawawezi kuchukua iyo nyumba
Masheikh wa kisufi hao siwapendi haswaa mna wanapoteza watu tuuuHakuna watu wanapenda mali za bure kama waislamu waswahili.
Kuna kesi nyingi za waislamu wakigombea mali za waislamu waliofariki kariakoo kwa kisingizio cha walipewa wakfu.
Misikiti mingi inafanya biashara ya fremu na car parking..
Sasa hapo kariakoo jinsi fremu zilivyo dili, ni kiongozi wa msikiti gani ataikataa hiyo ardhi ya bure. Maana anajua fremu zikijengwa na yeye atafaidika kula kodi hizo