Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

akiwa amefika salama siwezi umia rohoni mkuu kesi za wanawake kule kotini huchomoki hapa ndipo ilipo hofu yangu hasa
Basi msubiri baba mkwe amkanye kwa simu, yataisha kiroho tu kiongozi!
 
Vip iwapo tabia haibadiliki, hivi unajua changamoto ya kuishi na mwenzio ambae hakusikilizi?

Ukiona mke kafikia hatua hiyo ya utovu wa nidhamu ujue wewe Ndio unamatatizo/umepwaya Sana Mkuu

Tulishasema katika vikao vyetu kuishi na mwanamke kunahitaji akili/maarifa na sio vitu wala kisomo Why This? B'se mwanamke amepewa kuelewa hivyo anadai Akili kutoka kwa mme wake

Kwaiyo ukiona mke kakushinda usitafute mchawi mkuu, mchawi ni wewe mwenyewe 😂👉jiangalie mwenyewe, kutathmini utagundua kuna kitu kikubwa umekosa kwaajili ya mke wako Ndio maana hakutii
 
Labda unaweza niorodheshea huenda nikawa nimepungukiwa na nini?
 
Sio kuwajaribu. Ndo tabia zetu
Sasa hizi tabia zenu zitawaumiza maana unakuta miaka 10+ tupo pamoja bado una jaribu jaribu tu😃
Nami nitajaribu kukujaribu kwa kifinyo kidogo
 
Sasa hizi tabia zenu zitawaumiza maana unakuta miaka 10+ tupo pamoja bado una jaribu jaribu tu😃
Nami nitajaribu kukujaribu kwa kifinyo kidogo
Kama wa kwako anavumilia kifinyo endelea tu mkuu. Mimi kifinyo hapana...utanipoteza siku hiyo hiyo.
 
Kichwa cha habari ni low level of discipline? anaweza kaidi agizo papo kwa papo huku unaona.
Mke haagizwi kama mtoto mdogo, ni mtu mzima na akili kàma zako. Mkeo mnapanga utaratibu wote na namna ya kutekeleza.
Sasa anakaidi agizo kivipi?
Ebu sema uliagiza nini akakaidi papo kwa papo tuone kama agizo lako lilikidhi vigezo vya kuwa agizo.
Usije ukawa unaagiza mambo ya kitopolotopolo.
 
Mkuu hainihusu vip wakati nilienda kumchukua mwenyewe? Sasa akitokea hajafika nyumbani nani atawajibishwa? yani unafikiri mzee wake akisema tunamtaka mtoto wetu kama ambavyo tumekukabidhi utasema nini mbele ya kizimba?
Mkuu, amka usingizini.
 
Kama wa kwako anavumilia kifinyo endelea tu mkuu. Mimi kifinyo hapana...utanipoteza siku hiyo hiyo.
Unapotelea wapi
Ikiwa ni mimi huku ndio nakufinya utapotea ila akilufinya yeye ambaye ulijaribu kumjaribu maamuzi yake utaomba tu msamaha😅
 
Mkuu naona unataka nikufunulie vya ndani ya shuka have imetosha nimekuelewa lakini haipo hivyo
 
Kichwa cha habari ni low level of discipline? anaweza kaidi agizo papo kwa papo huku unaona.
Ashakula kozi yote kukuhusu baada ya kozi kagundua anakumudu, kagundua una uoga sana, kagundua huwez mgusa, kagundua neno polisi kwako hutak kulisikia. Kwa taarifa yako grafu ya kukudharau itaongezeka na mkisha zaa tegemea kuletewa mtoto toka nje kabisa
 
Unapotelea wapi
Ikiwa ni mimi huku ndio nakufinya utapotea ila akilufinya yeye ambaye ulijaribu kumjaribu maamuzi yake utaomba tu msamaha😅
Inategemea. Kupigana ni mambo flani hivi ya kishamba. Kama kakushindwa afungashe aende
 
Ndio maana namuondoa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…