mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi ,uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu vya machifu na kuvaa ngozi ,wakati nchini mambo yanaharibikaHuyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi ,uhuni umerudi tena serikalini mama ana angaika na mambo ya kipumbaavu vya machifu na kuvaa ngozi ,wakati nchini mambo yanaharibika
Huyo atakuwa katolewa chambo yaani polisi sio kabisa hata ukiwa na ndugu mule hesabia huna ndugu
Na baaathiiiii ddaaaaay Leo hapa benja hatujasoma wanafunzi wamemuimbia nyimbo.Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi ,uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu vya machifu na kuvaa ngozi ,wakati nchini mambo yanaharibikaHuyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi ,uhuni umerudi tena serikalini mama ana angaika na mambo ya kipumbaavu vya machifu na kuvaa ngozi ,wakati nchini mambo yanaharibika
Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi ,uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu vya machifu na kuvaa ngozi ,wakati nchini mambo yanaharibikaHuyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi ,uhuni umerudi tena serikalini mama ana angaika na mambo ya kipumbaavu vya machifu na kuvaa ngozi ,wakati nchini mambo yanaharibika
Alipaswa akatae mwanae kuzikwa ili afanyiwe uchunguz,Akiongea na Azam News, Baba mzazi wa askari aliyejinyonga anasema hajaridhishwa na taarifa za kifo cha mwanae!
Anasema alipigiwa simu na kuambiwa mwanao tumpeleke akazikwe wapi? Akawaambia mleteni nyumbani kwangu Tabata, Dar Ea Salaam.
Walipofika wakataka kushusha maiti na kuondoka, ndipo alipowagomea na kuanza vurugu baadae maiti ikaenda kuhifadhiwa hospitali ya Polisi Kilwa Road.
Baba mzazi ana mashaka na kifo cha mwanae, anasema mwanae ameuawa kwa kuwa mwanae alisimamia ukweli kuwa alitumwa na wakubwa wake kufanya mauaji ya mfanyabiashara.
Baba mzazi anamuomba IGP Sirro kuunda tume kuchunguza kifo hiko. Anasema haiwezekani sero ya polisi kuwe na tambala!
Baba mzazi wa marehemu ni askari mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Dah hizi kazi za haya majeshi hazifai bas kabisa..Kwenye mchongo Kama huo ukitumwa kuua na ukakataa, basi na wewe watakuondoa tu. Kwenye majeshi yote ni lazima kutii amri ya mkubwa wako, nasisitiza ni lazima.
Afanyiwe uchunguzi na nani?Alipaswa akatae mwanae kuzikwa ili afanyiwe uchunguz,
Kilio nilazima kita amia nyumbani unajuwa kwa nini? Hawa askari hawawatendei haki Raia. Uwenda Mungu anatufundisha jambo. Uwenda Mungu anawakumbusha jambo wenye mamlaka. Ukifurahia misiba ya wenzio kesho utakuwa na misiba mingi nawengi wakukucheka.Akiongea na Azam News, Baba mzazi wa askari aliyejinyonga anasema hajaridhishwa na taarifa za kifo cha mwanae!
Anasema alipigiwa simu na kuambiwa mwanao tumpeleke akazikwe wapi? Akawaambia mleteni nyumbani kwangu Tabata, Dar Ea Salaam.
Walipofika wakataka kushusha maiti na kuondoka, ndipo alipowagomea na kuanza vurugu baadae maiti ikaenda kuhifadhiwa hospitali ya Polisi Kilwa Road.
Baba mzazi ana mashaka na kifo cha mwanae, anasema mwanae ameuawa kwa kuwa mwanae alisimamia ukweli kuwa alitumwa na wakubwa wake kufanya mauaji ya mfanyabiashara.
Baba mzazi anamuomba IGP Sirro kuunda tume kuchunguza kifo hiko. Anasema haiwezekani sero ya polisi kuwe na tambala!
Baba mzazi wa marehemu ni askari mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Seeeema kimeumanaaaa[emoji2]Akiongea na Azam News, Baba mzazi wa askari aliyejinyonga anasema hajaridhishwa na taarifa za kifo cha mwanae!
Anasema alipigiwa simu na kuambiwa mwanao tumpeleke akazikwe wapi? Akawaambia mleteni nyumbani kwangu Tabata, Dar Ea Salaam.
Walipofika wakataka kushusha maiti na kuondoka, ndipo alipowagomea na kuanza vurugu baadae maiti ikaenda kuhifadhiwa hospitali ya Polisi Kilwa Road.
Baba mzazi ana mashaka na kifo cha mwanae, anasema mwanae ameuawa kwa kuwa mwanae alisimamia ukweli kuwa alitumwa na wakubwa wake kufanya mauaji ya mfanyabiashara.
Baba mzazi anamuomba IGP Sirro kuunda tume kuchunguza kifo hiko. Anasema haiwezekani sero ya polisi kuwe na tambala!
Baba mzazi wa marehemu ni askari mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi wanafata amri hakuna kubembelezana! Ukitumwa tumikaKama alitumwa kuuwa na akakubali huo ni upumbavu wake.
Kwani angegoma angefukuzwa Kazi?
Mm nafikiri kina Hamza wapatikane Kam kumi HV wapewe za usoo had akilli iwakae sawaHawa mbwa wanaoua raia wasio na hatia dawa yao ndogo sana.
Kama unajijua huna Nguvu za kupambana nao, kiserikali ama kifedha dawa ni moja tu.
Chukuwa nauli waendee kwa wazee, hakuna kupoteza muda, yaan watasambaratika kwanzia Master plan wa mchongo, mpaka machawa wao wote wa mpango haramu.
Muda mwngine hatuitaji kupoteza muda kujibizana na haya mashetan watu.
Kwan nani anaefanya uchunguzi?Alipaswa akatae mwanae kuzikwa ili afanyiwe uchunguz,
UCHAWI HAUPO NDUGU NI FIKSI TU.Hawa mbwa wanaoua raia wasio na hatia dawa yao ndogo sana.
Kama unajijua huna Nguvu za kupambana nao, kiserikali ama kifedha dawa ni moja tu.
Chukuwa nauli waendee kwa wazee, hakuna kupoteza muda, yaan watasambaratika kwanzia Master plan wa mchongo, mpaka machawa wao wote wa mpango haramu.
Muda mwngine hatuitaji kupoteza muda kujibizana na haya mashetan watu.
Hivi tambala la deki selo kweli?! Mbona haiingii akilini kabisa?!Akiongea na Azam News, Baba mzazi wa askari aliyejinyonga anasema hajaridhishwa na taarifa za kifo cha mwanae!
Anasema alipigiwa simu na kuambiwa mwanao tumpeleke akazikwe wapi? Akawaambia mleteni nyumbani kwangu Tabata, Dar Ea Salaam.
Walipofika wakataka kushusha maiti na kuondoka, ndipo alipowagomea na kuanza vurugu baadae maiti ikaenda kuhifadhiwa hospitali ya Polisi Kilwa Road.
Baba mzazi ana mashaka na kifo cha mwanae, anasema mwanae ameuawa kwa kuwa mwanae alisimamia ukweli kuwa alitumwa na wakubwa wake kufanya mauaji ya mfanyabiashara.
Baba mzazi anamuomba IGP Sirro kuunda tume kuchunguza kifo hiko. Anasema haiwezekani sero ya polisi kuwe na tambala!
Baba mzazi wa marehemu ni askari mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Ndio wamuue sasa?Damu nzito kuliko maji,mzee kubali tu mwanao kakutia aibu