Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ana matukio😊We urithi wako si umeshaupata kwenye kubet.
Mungu ndio ameona akulipie kwa staili hiyo kikubwa tumia vyema kipato chako.
Shukuru kuzaliwa nafamilia imekukuzaMimi ni mtu ambaye kwenye familia ndiye niliyeonewa nimewekwa fungu la kukosa haya nayolalamikia nikweli nimetendewa ndugu yangu unazaliwa familia ambayo wao ndio wanastahili mimi sistahili
Nilishamwambia baba yangu kuwa sihitaji mali ya urithi, tupo watoto 18 ( ana wake 3).Pambana kutafuta vyako usiku na muchana mpaka siku moja wajutie kukutenga
Kwakweli tatizo hiliNilishamwambia baba yangu kuwa sihitaji mali ya urithi, tupo watoto 18 ( ana wake 3).
Ajabu na kweli, watoto wenzangu ( ni watu wazima kabisa wengine wako kwenye 60s) wana ugonvi mkubwa sana kwa ajili ya ya mirathi.
Umejiepusha na mengi, tafta mali zalo mwenyewe utapata tu. Uking'ang'ana na urithi utachelewa sana
Umenena mkuuSioni sababu ya kujitenga na familia yako kwasababu kama mwenye makosa ni baba yako,,,wengine hawana makosa hlf kumbuka undugu unathamani zaidi kuliko kipande cha ardhi
Kuna leo na kesho zinaweza fika nyakati ukajikuja unawahitaji ndugu zako kuliko kitu kingine chochote kile
Kwahiyo usivunje undugu kwa ardhi ambayo hata wewe unaweza kuipata pia
Hii ni sababu kubwa na mimi naonaYawezekana Mzee aligundua kuwa wewe sio mtoto wake Ila Kwa sababu ya busara tu akaona haina haja kuharibu familia uteeni Kwa sababu Kama hiyo.
Basi hilo jibu la wazi kabisa wewe sio mtoto wa huyo mzeeAlinambia baba alikuwa katili sana kila alichomshauri aliishia kupigwa
Jizee lile lilikuwa katili sana ogopa mtu anapiga mke wake pamoja na mama yake mzazi aliyemzaaHii ni sababu kubwa na mimi naona
Au labda kama ulikuwa mkorofi huna heshima kwake.
Kwani ukimuuliza mama yako na ndugu zako wanakupa jibu gani?