Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Kwa maelezo tu kumwita "babako" fedhuli, nashawishika kukuomba umuulize vizuri mamako ili akuoneshe babako.
Nina hakika mamako alichepuka na akambambikiza huyo alokuwa mlezi wako.
Fanya hivyo utanishukuru.
 
Hivi unafahamu mazee makatili ya Kaskazini ndugu yangu uliza watu wa North uambiwe
 
Una uhakika wewe n mtoto wake?? ....maaana kilaa ndoa kadhaa zinawatoto wa nje..!!! Anyway tafuta vyako dogo...
 
Ndugu yangu usiombe yakupate mimi sidai urithi naumia kwanini alinidharau manake mimi ni sawa na mbwa sistahili hayo ndo maumivu yangu
 
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Baba na mama ndio wanajua kwa nini hukupewa urithi. Kama mama yupo ongea nae vizuri labda kuna siri alificha. Kuzaliwa wa mwisho haimaanishi wewe ni mtoto wa nyumba hiyo. Shamba na mali mtu atarithi kwa babaye
 
Hivi unafahamu mazee makatili ya Kaskazini ndugu yangu uliza watu wa North uambiwe
Hapana wazee wa Kaskazini wanapenda sana watoto. Sasa kama wanawapa urithi hadi watoto wao waliozaa nje ya ndoa angekunyima vipi wewe uliyezaliwa ndani ya ndoa na kukulea. Hata ndugu zake, mashangazi wangemwambia unafanya makosa kama umeona wamekaa kimya jiulize.

Huyo sio baba yako kaa vizuri na mama na ndugu zako wakwambie.
 
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Labda haukuwa karibu na baba na Hilo Ndilo limekugharimu na inawezekana ulifuja Mali nyingi sana
 
Ndugu yangu usiombe yakupate mimi sidai urithi naumia kwanini alinidharau manake mimi ni sawa na mbwa sistahili hayo ndo maumivu yangu
Move on we n mwanaume...dunia n uwanja wa fujo....SEHEM YA KUPUMZKA N KABURINI TU...
 
Baba na mama ndio wanajua kwa nini hukupewa urithi. Kama mama yupo ongea nae vizuri labda kuna siri alificha
Mama alinambia baba yako tumeishi nae akitupiga na kututusi kila siku kama yeye kukunyima alikudharau sasa utafanyaje kama mimi nimekuwa nikipigwa makofi na ngumi kila niliposhauri lolote
 
Back
Top Bottom