Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Dah hadi mama yake mzazi kweli alikuwa katili.Jizee lile lilikuwa katili sana ogopa mtu anapiga mke wake pamoja na mama yake mzazi aliyemzaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hadi mama yake mzazi kweli alikuwa katili.Jizee lile lilikuwa katili sana ogopa mtu anapiga mke wake pamoja na mama yake mzazi aliyemzaa
Basi muulize mama kwanini!!?Nimeona nisifanye hivyo ndugu yangu Mahakamani kesi za mirathi hazihesabiki, nimejiweka nje yote maisha
Mkuu nenda ukafanye kipimo cha DNA kupitia ndugu zako ili uweze kuujua ukweli wote. Isije kuwa mzee alistukia mchezo fulani na kisha akaja kutambua kachomekewa mtoto kimtindo.Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
cheti ulibahatika kupata lakiniForm IV ndugu waliogawiwa wao ni kutukanana kila kuchwao nipo mbali nawamulika tu
Kwa mtoto wa nje hiyo nakataa lilikuwa na laana zake za kumpiga bibi na mama hakuna loloteWewe ni mtoto wa nnje ya ndoa unafikiri huyo mzee ni hajui?
Kumbuka amekulea tangu ukiwa mtoto kwhy anakujua zaidi ya ww unavyojijua.
Halafu kumbuka wazee wetu wanasemaga "kuchapiwa ni siri ya ndani"
Usikute BABA Yako sio babaako na aligundua hilo.Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Wew ni mtoto wa nje ya ndoa acha ubishi mzee siyo mjinga uliza vizuri ndugu zako wakueleze ukweliKwa mtoto wa nje hiyo nakataa lilikuwa na laana zake za kumpiga bibi na mama hakuna lolote
Wewe una ushahidi gani kuwa sio mtoto wake yani awe katili kwako na sio kwa watoto wengine. Basi wewe ndio utakuwa na tatizo.Hapana mkuu alikuwa katili
Mm nikajua labda kampuni kumbe shamba, pambana. Nitafute nikupe mbinuMimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Yani mimi katika ile familia wameniweka fungu la kukosa kama ShetaniMzee wa kubet baba kakunyima shamba na mama anakuita mchawi, pole sana lakini mungu kakuona na wewe kakupatia kwa kubet kuliko hata hilo shamba, tulia uko vizuri enjoy life
Mimi katika ile familia nimewekwa fungu la kukosa kama Shetani hakuna hata jema mojaMzee wa kubet baba kakunyima shamba na mama anakuita mchawi, pole sana lakini mungu kakuona na wewe kakupatia kwa kubet kuliko hata hilo shamba, tulia uko vizuri enjoy life