Tutagawana nao hasara sijawa tu serious naskia harufu ya police inanukia
Sawa,,,utakuja kutupa mrejesho
Ila nakushauri ujifunze kusamehe,,,ngoja nikufungulie code kidogo sisi baba yetu aliuza eneo lenye thamani ya almost bil 2.5 na alishirikisha watu baki katika mambo yake
Alifanya miradi ambayo hakutushirikisha kama familia,na mwisho wa siku hao watu walimwingiza chaka na kufilisika kabisa
Kama watoto tulikwazika sana,,,na ilifika kipindi mtu mpaka unawaza umpotezee mshua lkn hasa mimi niliwaza na kusema huyu ni baba yetu na hakutakuwa na baba mwingine,,hizo zilikuwa mali zake na alifanya vile ambavyo aliona inafaa,,ingawa baadae alikuja kukiri kuwa alifanya makosa
Tulijifunza kumsamehe na kumove on,,na tunampenda ni mzazI wetu
Kwahiyo usitiwe ndimu na wanajf humu ndani,,,just move on chief