Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

Sawa,,,utakuja kutupa mrejesho

Ila nakushauri ujifunze kusamehe,,,ngoja nikufungulie code kidogo sisi baba yetu aliuza eneo lenye thamani ya almost bil 2.5 na alishirikisha watu baki katika mambo yake

Alifanya miradi ambayo hakutushirikisha kama familia,na mwisho wa siku hao watu walimwingiza chaka na kufilisika kabisa

Kama watoto tulikwazika sana,,,na ilifika kipindi mtu mpaka unawaza umpotezee mshua lkn hasa mimi niliwaza na kusema huyu ni baba yetu na hakutakuwa na baba mwingine,,hizo zilikuwa mali zake na alifanya vile ambavyo aliona inafaa,,ingawa baadae alikuja kukiri kuwa alifanya makosa

Tulijifunza kumsamehe na kumove on,,na tunampenda ni mzazI wetu

Kwahiyo usitiwe ndimu na wanajf humu ndani,,,just move on chief
Hawa wazee sijui wana laana gani inamana huyo wakati anafanya hivyo hakuwa na huruma yeyote nikwasababu tu alipigwa angefanikiwa mngebaki na manyoya duh poleni sana
 
Usiililie mali ambayo siyo yako. Mwenye mali ana haki ya kumpa yeyote amtakae.

Muulize vizuri mama'ko baba'ko wa kweli ni yupi. Usilalamike sana, tafuta zako.
 
Akijitenga itamsaidia kupata mirathi ,zaidi sumu ya chuki itamsababishia maradhi tu
Uzuri nikuwa ukiachana na mambo ya mirathi wale aliowapendelea wanagombana kila siku kwa mambo yao mengine napata sana faraja hapo kwa jinsi moto unavowaka ndo mana hata wakati mwingine nikitaka kuvaa sura ya nyoka naachaga
 
Kwani hiyo mirathi ina thamani ya kiasi gani na vilevile siyo lazima. Angeweza kuwachia mifugo yake.
 
Usiililie mali ambayo siyo yako. Mwenye mali ana haki ya kumpa yeyote amtakae.

Muulize vizuri mama'ko baba'ko wa kweli ni yupi. Usilalamike sana, tafuta zako.
Sawa
 
Hawa wazee sijui wana laana gani inamana huyo wakati anafanya hivyo hakuwa na huruma yeyote nikwasababu tu alipigwa angefanikiwa mngebaki na manyoya duh poleni sana
Ndio maana nimefungua hiyo code ili uone kuwa wewe sio wa kwanza kukutana na changamoto hizi,,,kusamehe kunaweka huru sana na unapata amani moyoni
 
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Je shule ulilipiwa Hadi level gani?
 
Kwani hiyo mirathi ina thamani ya kiasi gani na vilevile siyo lazima. Angeweza kuwachia mifugo yake.
Nikama ml 300 hivi mm maumivu yangu sio mali naumia kwanini alinibagua mmbwa yule
 
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Chungulia vizuri.

Huo wosia uliandikwa kabla haijazaliwa.

Bahati Mbaya haukubadilishwa kabla Mzee wako hajadead.
 
🤣🤣🤣 tafuta fuba kijana, wengine hata huyo mzee mwenyewe hatumjui achilia mbali huo urithi wake.

Cha kufanya wewe usiwe kama yeye, tafuta mali uwaachie wanao kwa usawa.
Mali ni zake kwanini umpangie ampe nani??
 
Ilikuwa kabla mama alipomweleza akaishia kutukanwa matusi yote ngumi na mateke nakujibiwa kuwa sina mali za kumpa nishagawa tena kwa hasira inamaana kwamba mm ni mbwa nawala sistahili
 
Siku hizi eenzako huwa wanachagua yule mtoto mwenye uhitaji zaidi kwenye familia na kusema yeye ndiye apewe urithi. Wewe kubwa zima unalilia urithi mpaka kufikia hatua ya kuwaza kujitenga? Ni aibu kubwa sana.
Kubwa zima kivipi wakati wakubwa zake( kaka zake) wamepewa?.
 
🤣🤣🤣 tafuta fuba kijana, wengine hata huyo mzee mwenyewe hatumjui achilia mbali huo urithi wake.

Cha kufanya wewe usiwe kama yeye, tafuta mali uwaachie wanao kwa usawa.
Mali ni zake kwanini umpangie ampe nani??
Issue ni kwamba sidai mali najiuliza kwanini anitenge kwahiyo mm ni mbwa katika ile familia wao ndio watu
 
Pole sana mkuu lakin kujiondoa katika familia sio suluhisho sababu waliobaki hawana makosa chamsingi elekeza hasira zako kwenye kutafuta maisha pambana sana uzidi hao waliopata urithi
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
 
Tofauti ya scenario yake na yenu ni kuwa nyie mlikosa wote ila yeye kakosa pekee yake yaani kabaguliwa.
Na mama aliponiulizia aliishia kutukanwa matusi yote mateke makofi nakuropokewa sina mali za kumpa nishagawa zote inamana mm ni mbwa wao ndio watu ndiyo maana yake
 
Back
Top Bottom