Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

Pole sana mkuu lakin kujiondoa katika familia sio suluhisho sababu waliobaki hawana makosa chamsingi elekeza hasira zako kwenye kutafuta maisha pambana sana uzidi hao waliopata urithi
Nimebahatika kupata kwangu lakini bado nina kisasi najiona mbwa katika ile familia wao ndio wanastahili hii kitu inanitesa sana
 
Labda!! wewe si Damu ya Marehemu Chifu wetu,,ZINGATIA NENO""LABDA""
 
Nikama ml 300 hivi mm maumivu yangu sio mali naumia kwanini alinibagua mmbwa yule
Alikubagua kwa sababu aligundua kuwa yeye ni baba mlezi wako siyo baba yako mzazi,,Halafu na wewe umedhihirisha angekuwa baba yako mzazi usingemwiita mbwa yule.
 
Sasa hao ndugu zako wao wamehusikaje? mbona unataka kuhukumu watu ambao siyo?
 
Kama mama yako yuko hai ongea naye vizuri huyo siyo baba yako na huyo baba anajuwa alichomfanyia mama yako.
 
Tatizo mzee alishaona una matatizo maana kama umeweza kuwa mfuasi wa makonda pamoja na ujinga ujinga wake anao ufanya, hakika mzee alikuwa sahihi sana kukuacha na aliona mbali sana
 
Tatizo mzee alishaona una matatizo maana kama umeweza kuwa mfuasi wa makonda pamoja na ujinga ujinga wake anao ufanya, hakika mzee alikuwa sahihi sana kukuacha na aliona mbali sana
Makonda kazi anapiga sana ni mtu unawekwa fungu la kukosa kila utakalofanya jema malipo yake unamwagiwa maji machafu
 
Unauhakika we ni mtoto wake?muulize vizuri mama yako,
Nilifuatilia sana kwa mama nikagundua kuwa amenyanyaswa sana hata alipojaribu kuulizia aliishia kupa kichapo
 
Kukupa chakula na kukusomesha na kutokufukuza kwenye malazi haikutosha mpaka utake akupe na shamba ? Labda aliona akupunguzie dhahama za kupalilia na kutunza shamba....

Akunyimae Kunde....
 
Hupaswi kupata shida ya msongamano wa mawazo .

Jipange na utafute vyakwako utafanikiwa na utasahau kwamba ulinyimwa na baba yako .

Tena ikiwezekana msamee na maisha yasonge
 
Ni IV tu ndugu yangu shule nipate wapi mtu umeshatengwa utasema nini
Kuna mtihani umepewa umefeli,ivyo vitu vidogo sana kwani ungekuwa na shamba ungefanya Nini ungeuza,ungelima au ungejenga hao waliopewa wamefanyia Nini tafuta chako broo nadhani Mzee aliona una uwezo watofauti na ndugu zako na aliamini huitaji na unao uwezo wakutafuta na kuacha mirathi kama alivyofanya ,acha kulialia Yani iyo ndio itakufanya ufanikiwe kwenye maisha na sio kujitenga ,tafuta kama Mzee alivyotafuta acha kulialia
 
Uzuri nikuwa ukiachana na mambo ya mirathi wale aliowapendelea wanagombana kila siku kwa mambo yao mengine napata sana faraja hapo kwa jinsi moto unavowaka ndo mana hata wakati mwingine nikitaka kuvaa sura ya nyoka naachaga
Inatakiwa uwashkuru Sana hai Ndugu zako ,wame ku challenge ili ujiulize ww utawaachia nn watoto wako sio wakati wa kulilia urithi wa baba ko Sasa ,
 
Yaani shamba linakufanya umchukie baba binafsi ningeuliza sababu huenda ningelizika na ningeendelea kuipenda familia🙂
wangekua hawakutaki haki hata usingejua kuandika Wala usingeijua jamii so nampongeza baba kwa kua na kifua
 
Siri ya mtoto anaijua mama ndo mana kuna wababa wa bandia wengi katika familia siku hzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…