Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Uliza vizuri huenda sio mtoto wake. Mimi mzee wangu kuna ndugu hakuwaweka kwenye usia wake kutokana na sababu zake za kuona ni wabinafsi na hawakuwa na time naye. Ila tulirudi mezani tukagawa upya kila kitu ikiwemo kwa ndugu yetu mmoja wa nje hatukutaka utokee mpasuko katika familia. Kila mtu alipata mgao sawa kabisa kabisa kasoro mmoja yeye tulikubaliana apate zaidi maana yeye ndiye alikuwa anamsaidia mzee katika shughuli na kutazama kila kitu.
Tuko poa kabisa sasa baada ya miaka 3 toka atutoke hakuna mwenye malalamiko.
 
Kwanini wapendelewe sijawa tu serious kutawaka
Kwahiyo kosa ni lao au la aliyewapendelea?? Hata ukiwatenga haitasaidia kitu, zaidi ni hasara kwako... Kubali hujapewa, Tafuta vyako tuu... Kwa malalamiko zaidi uwe unaenda kulilia kaburini.
 
Issue ni kwamba sidai mali najiuliza kwanini anitenge kwahiyo mm ni mbwa katika ile familia wao ndio watu
Kwani lazima upewe?
Hizo mali ulimsaidia kutafuta?, Una uhakika wewe ni mwanae?

Unajistrese bila sababu za msingi.
 
Jamaa una story za kubumba bumba sijui unatuona watoto, mara mama yangu mbaya kaniita mchawi nataka nijitenge na familia, Leo Tena baba fidhuli hakuniacha urithi, kwanza huna heshima kwa wazazi wako Wala familia yako ,watu Kama wewe mnastahili kutengwa na ukoo mzima SI familia tu maana Ni chanzo Cha migogoro na mafarakano.
 
Unadhani hao waliopewa urithi walishiriki wakati marehemu alipokuwa akitoa na kuandika mirathi? kama hawakushiriki, kwanini chuki uiamishe kutoka kwa muhusika ( baba yako) uipeleke kwa ndugu zako?
Kama umeamua kumchukia mto mirathi usiwachukie waliopewa, kama hawakushiriki wakati mzee alipokuwa akiandika hiyo karatasi ya mirathi.
Wao wameubwa kwa dhahabu ama material gani inawezekanaje nikae na watu waliothaminiwa mimi ndiye mbwa wao?
 
Mama yako ana jibu. Kuna issue mbili hapo, ya kwanza, marehemu siyo baba yako, pili, will iliqndikwa kabla ya wewe kutungwa mimba au kuzaliwa.
Na alivyokuwa mshenzi akaandika isomwe mbele ya Ukoo inamana alinisaliti mbele ya Ukoo mzima mbwa yule
 
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Muulize mama yako kama unahusika na huo mgao na hiyo familia
 
Baba yako akuzae ,akuchagulie Mama,akuchagulie ndugu wako wa karibu ,akusomeshe ,akupe jina unalotumia hadi sasa.

Hata huu uwezo ulikuja hapa kuandika ,kumdhalilisha humu ,umekupa yeye,akili amekugaia

Bado huoni ni urithi tosha ,

Acha malalamiko ,Dunia iko wazi sana ikufanye nawewe utafute zakoo.

Ni aibu Sanaa na unataibisha wanaume

Umetukosea Sanaa, unamdhalilisha sana baba yakoo.

Nakuambia utateseka Sanaa, njia pekee rudi kamuombe radhi baba yako kwa hichi ulichokufanya hapo njia zako zitafunguka .

Ushauri tuuu Mkuu ,najua utachukulia kichanyaa.
Ukiwa baba huwezi kupendelea watoto hata siku moja huku ukitishia pale wanapozungumza ukweli ni kweli alifanya makosa, usinifundishe woga nimetendwa vibaya tena washukuru sinaamia kuvaa sura ya nyoka
 
Afadhali tukose wote
Una umri gani?
Mbonw unaleta stori za kubumba namna hiyo
Mara umeshinda beting mama kakuita mchawi kisa umejenga nyumba ghafla,leo umekuja na stori nyingine ya kutunga au uko kwenye msongo wa mawazo kijana?
Ulikuwa na expectation fulani ya mafanikio then uone mafanikio unaanza kuishi kwa ndoto 😁😁😁

a
 
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa

Ila swali la Msingi ujiulize ,

Je wosia kipindi unaandikwa ulikuwa ushazaliwa?

Maana unaweza kuta mzee aliuandika wosia kabla wewe ulikuwa hujazaliwa na baada ya wewe kuzaliwa akasahau kuurekebisha au alifanya uzembe.

Swali la pili uchunguze pengine mama yako aliwahi kugombana nae baba yako na alimtamkia kuwa wewe site mtoto wake ndiyo maana mzee nae alikasilika AKAAMUA kuwaandikia wanne.

Swali la mwisho ,na la Msingi litakaloamua ujitenge au usijitenge.
Je ndugu zako wanakuchukuliaje? Wanakubagua? Kama wanakubagua basi kaa nao mbali kabisa na hama na mji wenyewe.

Na kama hawakubagui ,basi makosa ya baba yako usiwahukumu wao. Bali shirikiana nao kwa Kila kitu.

Nitafurahi ukinipa ufafanuzi wa hizo hoja tatu
 
Kwanza unapata wapi nguvu ya kumuita mzee wako "mbwa".Dunia hii imeharibika wajameni!!!
Baba yako aliona mbali saanaa wewe hustahili aisee
Ogopa sana vita ya watoto wa kiume endapo baba yao sio mtu wa haki nakwambia tena hapa sijaamua kuvaa sura ya nyoka naweza kuleta balaa kubwa sana
 
Anyimwae urithi wa baba yake bila hatia hupewa utajiri na MUNGU.
 
Jamaa una story za kubumba bumba sijui unatuona watoto, mara mama yangu mbaya kaniita mchawi nataka nijitenge na familia, Leo Tena baba fidhuli hakuniacha urithi, kwanza huna heshima kwa wazazi wako Wala familia yako ,watu Kama wewe mnastahili kutengwa na ukoo mzima SI familia tu maana Ni chanzo Cha migogoro na mafarakano.
Ndugu mm nimekosewa sana naona waliniweka fungu la kukosa leo nalalamika unaniona nakosea, watu wanye kwenye mdomo wako kisha unapozungumza wewe uonekane tena una makosa, usinifundishe woga
 
Wa
Ila swali la Msingi ujiulize ,

Je wosia kipindi unaandikwa ulikuwa ushazaliwa?

Maana unaweza kuta mzee aliuandika wosia kabla wewe ulikuwa hujazaliwa na baada ya wewe kuzaliwa akasahau kuurekebisha au alifanya uzembe.

Swali la pili uchunguze pengine mama yako aliwahi kugombana nae baba yako na alimtamkia kuwa wewe site mtoto wake ndiyo maana mzee nae alikasilika AKAAMUA kuwaandikia wanne.

Swali la mwisho ,na la Msingi litakaloamua ujitenge au usijitenge.
Je ndugu zako wanakuchukuliaje? Wanakubagua? Kama wanakubagua basi kaa nao mbali kabisa na hama na mji wenyewe.

Na kama hawakubagui ,basi makosa ya baba yako usiwahukumu wao. Bali shirikiana nao kwa Kila kitu.

Nitafurahi ukinipa ufafanuzi wa hizo hoja tatu
Wamekuwa wakinichukulia poa mambo mengi sana yani kama jinga pale nyumbani ndio maana itanilazimu nigeuke nyoka
 
Una umri gani?
Mbonw unaleta stori za kubumba namna hiyo
Mara umeshinda beting mama kakuita mchawi kisa umejenga nyumba ghafla,leo umekuja na stori nyingine ya kutunga au uko kwenye msongo wa mawazo kijana?
Ulikuwa na expectation fulani ya mafanikio then uone mafanikio unaanza kuishi kwa ndoto 😁😁😁

a
Ndugu sijatunga haya ninayoandika ni ya kweli nikweli nimetendwa
 
Kama hakutoa sababu za kwanini hakukupa urithi wakati wewe ni mrithi halali unaweza kupinga wosia huo
 
Back
Top Bottom