Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

Umejenga hoja vyema sana mkuu.

Lakini msingi wa swali ni kuwa mahakama na tume ni za kwao, kutegemea matokeo kuwa kwa upande wetu sisi wafuata taratibu inakua ngumu sana.
Asante mkuu, lakini hata kama ni za kwao, ingefaa sasa kila kijiji cha nchi hii kifungue shauri la kupinga mambo yote ya ajabu ajabu humu nchini- ni suala la uratibu tu na malipo kwa wanasheria ndio issue.

Majaji wapewe kazi ya zaida zaidi toka kila kijiji cha nchi hii. Wakichoka kusilikiza mashauri ya namna hii ndipo waatanza kutenda haki. yaanai kesi za kupinga kila corner kijiji.

Ningefurahi sana iwapo CDM wangeweka katika kila kijiji/kata/ tarafa mwanasheria wa kufungua kesi mbali mbali nyingi sana, hadi majaji wachoke na waanze kutenda haki. Hapa ndipo tulipo kwama maana hawa majaji wakipewa kashi kashi, hakutakuwa tena na delaying techinics. Ningependa sana mwanasheria ajaye wa CDM aanze na mpango huu kabla ya October. yaana ni kesi kwenda mbele hadi wachoke wenyewe na watoe kile wananchi wanachi taka- haki tupu. wakichelewa kutenda haki, kesi zitarundikana na wataoneka ni kauzi na watu kuwaambia kama wamechoka kazi waache. ifike mahali mahakama zifanye kazi 24/7 hadi weekend, wanasheria wapo wa kutosha, hakuna haja ya kukalia kesi wakati watu wa kufanya kazi hizo wapo.

sijui ni kwa nini kupata haki humu nchini ni kazi kama kutafuta kazi?
 
Kwamba ni mpango wa JK
Katika Familia hata kama una watoto 10 , kuna mmoja atakuwa ni chaguo lako na mtoto pendwa. Kwenye Family ya Mkwere, Kidoti ni the love of his life. Jamaa anapambania future ya huyu kijana.

Kama akikaa mtu tofauti na Mama pale , itakuwa ni ngumu sana

Ila nina mashaka kama hizi karata Mkwere kazicheza vema; zitafeli kama ilivyofeli ishu ya Mmwera wa Lindi

Kazi kwenu
 
Inside info zinasema , wajumbe wanahoji kuna ajenda gani kati ya Mama na JK, kwamba Mchakato mzima wa kulazimisha Azimio unaonekana umesimamiwa na JK na ilikuwa ni idea ya JK, kulikoni ya wawili hawa ?
Na kwamba kama anakubalika kwa kiwango kikubwa, kuna ubaya gani akifuata utaratibu? Kuna kitu gani anachokihofia? Na kwanini apindishe taratibu? Na kwanini hakubaliani na mawazo ya waliowengi anataka ya kwake na mchonganjia wake?
 
HIVYO VIKAO WANAJISUMBUA TU NI KAMA VIKAO VYA KAHAWA TU HAVITAWASAIDIA
 
Wangeanza na Magufuli ingekuwa vizuri
 
Mkurugenzi wa Tume anaweza kukata Jina la Dada Mkubwa?
 
Nakupata vyema sana. Huo ni mkakati mzuri. Nafikiri wakuu humu wanapitia Mshana Jr na wenzake, watamfikishia TAL na Dk. Rugemeleza Nshala
 
Zile Siasa za KIBABE walizokuwa wakitufanyia sisi Wapinzani na haswa CHADEMA sasa wanafanyiana CCM kwa CCM na soon wataanza kutekana na kuuana wenyewe kwa kwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…