zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Mwaaasi KitokoKilichofanyika DODOMA ni sawasawa na Samia kujiteua kisha kuwastukiza wajumbe wampitishe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaaasi KitokoKilichofanyika DODOMA ni sawasawa na Samia kujiteua kisha kuwastukiza wajumbe wampitishe!
Kama Mzaha Vile Na Wenyewe WanaonaNchi inaenda upinzani
Mtasubiri sana hadi kizazi cha saba kuanzia sasa
Kilichofanyika DODOMA ni sawasawa na Samia kujiteua kisha kuwastukiza wajumbe wampitishe!
Kwamba ni mpango wa JKMkuu, siyo sawa na kujiteua. Huo ndio ulikuwa mpango mzima chini ya usimamizi wa JMK. Uliona jinsi Maza alivyokasilika kale Kabinti toka Mwanza kalipohoji kiaina.
Ni mpango ambao hata Nchimbi aliufahamu. Wasitufanye Watoto. 2021, JPM alipotutoka, Kigogo alitoa kuwa Nchimbi ndiye kapendekezwa kumsaidia Maza. Lakini Maza akakata kona only now to come to reality.
Sio kweli Akina Rose Migiro, Membe, Makamba January, Lowasa walikuwa na form Moja?Form moja ipo kabla ya nunda wa chato
Waligombea kipindi rais aliye madarakani anamaliza muda wakeSio kweli Akina Rose Migiro, Membe, Makamba January, Lowasa walikuwa na form Moja?
Umejenga hoja vyema sana mkuu.Wakati wa kuwekeana mapingamizi kule tume ya uchaguzi. Pingamizi lenyewe ni rahisi, kwamba ccm haina mgombea Kwa maana wamevunja kanuni na taratibu za katiba yao iliyopo Kwa msajili wa vyama. Na pingamizi hili, litaibua uhalali wa mgombea huyo na kutupwa nje. Hapo ndipo kwenye issue maana nchi haijaruhusu mgombea binafsi au kujichagulia bila kufuata utaratibu. Hilo jambo pia halikuwemo kwenye ratiba ya kikao na mwenyekiti alikuwa na conflict of interest kukataa kutoka nje ya kikao na hoja toka Kwa kibajaji.
Mchakato huu wa mgombea wao Una kina kirefu maana umevunja fundamental right- ya kuchagua na kuchaguliwa humo vyamani. Mahakama / Quasi judicial body ( tume huru) haiwezi kukubali uvunjifu huu wa uchaguzi Kwa proclamation maana sio njia zilizomo kwenye katiba ya ccm ya Kuteua mtu. Wakitaka kuitumia proclamation, inabidi kwanza waifanyie mabadiriko katiba Yao ( mchakato mrefu huo) na baada ya wajumbe kukubali hiyo njia, kopi ya katiba ipelekwe Kwa msajili- baada ya hapo ndio utaratibu mpya utumike.
Ccm msipo kuwa makini, mtatolewa KO ktk uchaguzi Kwa kutokufuata kanuni na taratibu zenu mlizojiwekea wenyewe.
Jisafisheni kabla hamjalipeleka jina la mgombea wenu huko tume huru…
Imekuwa inchi ya kifalme? KurithisanaRizimoja ndie waziri mkuu ajae wa Mama iwapo Mama atafanikwa kurudi madarakani.
Mzee wa Msoga anaandaa future ya kijana wake.
Hiii kitu huko mbele itawaletea shida kubwa, madaraka yamewalevyaImezoea, kudhulumu watabzania na michezo yao "kapita bila kupingwa, sasa wanadhulumiana wenyewe kwa wenyewe 🤣
Mjalana aliye laaniwa kesha chambia kakitabu cha katiba na kakitabu ka msahafu sembuse hako KAKITABU KA CCM ...HUYO MJALAANA KAINGIA NA MABASHA KWENYE ALKAHABA YA MTUME SEMBUSE CCM 😁😁😁Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!
Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda iliyopenyezwa nje ya utaratibu
kwamba , "kuruhusu jambo kama hilo ni kuruhusu mtu mwingine kuja kufanya lolote ndani ya chama baadae....ni aina nyingine ya Udikteta ndani ya chama"
Inside info zinasema , wajumbe wanahoji kuna ajenda gani kati ya Mama na JK, kwamba Mchakato mzima wa kulazimisha Azimio unaonekana umesimamiwa na JK na ilikuwa ni idea ya JK, kulikoni ya wawili hawa ?
Sakata la Mpango kukaa Kando, limeenda pia kuamsha mjadala mzito juu ya Samia na utendaji wa nchi kwa ujumla.
Wanasheria wa CCM wame affirm kwa wajumbe kuwa kilichofanyika dodoma sio sawa kwa mujibu wa KATIBA ya CCM, Katiba ya nchi na miongozo ( SoP& Guidelines) ya Uchaguzi mkuu hivyo hata Uandishi wa Azimio Utakuwa ni VOID na BATILI kwa sababu tayari umeshakinzana na Katiba,Kanuni na mionhozo na hakuna lawfull justification ya kufanya hivyo.
Vikao vya siri vya wajumbe ni kutokubali KATIBA YAO kupinduliwa kwa maslahi binafsi :Kwamba kama Samia anakubalika ndani ya miaka 3, ni ipi shida ya kuingia kwenye chujio?
Wajumbe bado wapo kwenye vikao vya siri wakijadili ni
"upi uhalali wa Mama kuvunja katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!?huku mama kwa maksudi akijua anachokifanya sio Taratibu na mienendo ya chama chao.
Na je ni ipi agenda kati ya Mama na Mkwere? Insitincts za wajumbe ni kuwa mchakato wa uvunjifu wa Kanuni na taratibu umekusudia kusafisha njia kwa kijana wa Msoga 2030! ?
kuruhusu uharibifu wa katiba ni kukaribisha uharibifu? au ni Another JPM in the making.
Hizo ni hoja za wazee, wajumbe na vikao vya pembeni.
Kazi kwenu!
TakatakaInside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!

Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!

Sasa ukiona wapi PM akawa Rais Nchi hii?Rizimoja ndie waziri mkuu ajae wa Mama iwapo Mama atafanikwa kurudi madarakani.