Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

Kusema si kutenda kwa maneno yako watangulizi wote hawakuwa focused.?
 



DAAAH,


RAIS SAMIA NI MOTO MKALI


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Wewe mpumbavu umejisajiri humu kupiga mapambio! Stupid kamlambe makalio huyo ndugu yako maana kila siku humu kelele tu!
Jibu hoja ndio uanze kutoa povu kima wewe.

Pambio zilikuwa zama za giza saizi ni facts na namba tuu,kwani wewe unateseka? πŸ˜„πŸ˜„

Wapumbavu ni waliokuzaa ndio maana umebeba bichwa kubwa.limejaa makamasi..

Kuwa mzalendo twende na mama beyond infinity
 
Tumefanya nini waafrica mkuu?

Bajeti moja ya barabara|madaraja & Viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano​



#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Samia Hadi 2050,Asiyetaka ahame nchi
 
Wanalipwa wote mkuu pesa imetenga kwenye CFS,

KUWA NA AMANI NDG YANGU

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Waambie mama analipa hadi madiwani wenyeviti wa mitaa/ vijiji na makatibu tarafa..

Yaani mambo ni πŸ”₯♨️♨️
 
Hayo akayafanye kwao Zanzibar. Kwani umeambiwa tumeshindwa kufanya wenyewe huku Tanganyika?

Hapo hakuna ukabila. Kila mtu akagombee kwao.
 
Hizi taarifa ni njema sana. Nadhani kwa sasa kilometa moja ya lami inaweza kwenda kwenye wastani wa angalau Billion 1.40. Wakati wa JPM ilikuwa kwenye wastani wa Billion 1.20. Kumbuka pia kuwa madaraja huwa yanakula zaidi ya hizo.

Hata hivyo bado Bajeti hii ya Mama inatisha sana, lakini pia JPM naye alitisha sana kwa wakati wake, na bado anatisha tu mpaka muda huu. Mungu aende na Mama kwa kishindo kikuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…