Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapayuka tuu usiyoyajua,kuna siku uliwahi sikia serikali imekopa alafu haijasema hela itafanya nini?
Wakati mnakopa huku mnadanganya kwamba mnafanya kwa pesa zenu pesa mlikuwa mnapeleka wapi na hakuna mradi mliokamilisha kwa miaka yote 6?
We ni mjinga yaani subiria ndani ya miezi 6 by desemba utapata kuona vituo vya afya,madarasa ya tozo..
Kwa mfano huko kwako huoni Tarura wakijenga barabara? Umesikia popote saizi kelele za wabunge? Jibu ni wanaona matokeo.
Mumebakia nyie wajinga wenye chuki ndio mnajifanya hamuoni,sisi tutakuwa tunawaonesha namba tuu kama hivi 👇
View attachment 1963645
View attachment 1963647
View attachment 1963649
View attachment 1963651
View attachment 1963653
View attachment 1963654
Jibu hoja ndio uanze kutoa povu kima wewe.Wewe mpumbavu umejisajiri humu kupiga mapambio! Stupid kamlambe makalio huyo ndugu yako maana kila siku humu kelele tu!
Kusema si kutenda kwa maneno yako watangulizi wote hawakuwa focused.?
Samia Hadi 2050,Asiyetaka ahame nchiTumefanya nini waafrica mkuu?
Bajeti moja ya barabara|madaraja & Viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Nyumbulika ueleweke tukusaidieKusema si kutenda kwa maneno yako watangulizi wote hawakuwa focused.?
Mafao ya PSSSF NA NSSF ya watu walipeni haki zao siyo mnayumba
Samia Hadi 2050,Asiyetaka ahame nchi
Waambie mama analipa hadi madiwani wenyeviti wa mitaa/ vijiji na makatibu tarafa..Wanalipwa wote mkuu pesa imetenga kwenye CFS,
KUWA NA AMANI NDG YANGU
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Hayo akayafanye kwao Zanzibar. Kwani umeambiwa tumeshindwa kufanya wenyewe huku Tanganyika?Mkuu hizi chuki ni kwa faida ya nani?
Hizi barabara Samia anajenga Zanzibar?
Hii SGR Samia anajenga Zanzibar?
Hii SG megawatt 2,114 Samia anajenga Zanzibar?
Haya madarasa elfu 15 Samia anajenga Zanzibar?
Hivi vituo vya afya 220 Samia anajenga Zanzibar?
PUNGUZA UKABILA SIMAMA NA NCHI YAKO,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Huna akili kabisa. Nachokisema hapa na hiyo unaemuita dikteta kinahusiana nini?Kufa umfuate dikteta chato,,kenge ww
Huyo agombee asigombee hainihusu ila tunachojua 2025 mkalia maji akagombee kwao huko lwenye maji. Tanganyika ni ya watanganyika na sio wakalia maji.😆😆😂😂 Ndio unavyojifari? Hesabu maumivu hadi 2030..
2025 atagombea huyu hapa life president almaarufu kiongozi wa malaika 👇
View attachment 1963619
View attachment 1963620
Kujifariji ni kitu kizuri 😁😁Huyo agombee asigombee hainihusu ila tunachojua 2025 mkalia maji akagombee kwao huko lwenye maji. Tanganyika ni ya watanganyika na sio wakalia maji.
Sio kampeni tunaonyesha mafanikio ya serikali ya awamu ya sita,kwani kuna shida?Hizi kampeni za 2025 zimeanza mapema sana, kwani kuna nini???
Hizi taarifa ni njema sana. Nadhani kwa sasa kilometa moja ya lami inaweza kwenda kwenye wastani wa angalau Billion 1.40. Wakati wa JPM ilikuwa kwenye wastani wa Billion 1.20. Kumbuka pia kuwa madaraja huwa yanakula zaidi ya hizo.Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano
=================================
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21
Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni Tshs 1BL basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizojengwa tangu uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu basi ni huyu Mama,
Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano (A comparative analysis )
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1963497
Kamwe awawezi kujaribuLeteni Tume huru ya Uchaguzi , hakuna anekula barabara akashiba. Msitizunguwe