Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Mama Chapa kazi,
 
Am speechless,

Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,

Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
Kundi la mwendazake walikuwa wanapiga hela , unadhani Msigwa aliongea kitu ambacho hakijui?
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Wanaunia sana
Mnoooo....


Hawataki kujikumbusha uzalendo kwa nchi....

Wamejisahaulisha UTII ulio lazima kwa mwenyekiti wetu wa CCM na Rais wa nchi......

Wanachagua wa KUWATII.....hii si afya kwa sisi raia ,chama na nchi....

SIEMPRE MH.SSH amen๐Ÿ™
 
Kundi la mwendazake walikuwa wanapiga hela , unadhani Msigwa aliongea kitu ambacho hakijui?

Mimi ni Chadema ila mama damu sana,
Tanzania tunataka mtu wa namna hii,
Samia ongoza mpaka uchoke,
Leo nimeona unasisitiza haki najua utamwachia Mbowe
Hakuna kama wwe kuwa na amani watanzania tunakupenda sana,
Safi Sana Chadema ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Wambie na wenzako waje CCM
 
Niko hapa Buyuni Vigwaza, just 5km toka Ruvu mtoni, lakini maji hakuna.
 
Kila nikiangalia tv Huwa nakutana na wamama wanafurahia miradi ya maji,Jana tuu mwenge umezindua mradi wa Maji Karagwe huko pesa ya mama.

Jana hiyo hiyo Waziri wa Maji alikuwa Dar ,wananchi mtaa fulani walikuwa wanalima lia maji kawaambia pesa iko wizarani ndani ya wiki hii wataona mafundi site yaani ni maneno na vitendo.

Moto wa Samia sio wa Nchi hii.
 
Mnoooo....


Hawataki kujikumbusha uzalendo wa nchi....

Wamejisahaulisha UTII ulio lazima kwa mwenyekiti wetu na Rais wa nchi......

Wanachagua wa KUWATII.....hii si afya kwa sisi raia ,chama na nchi....

SIEMPRE MH.SSH amen๐Ÿ™


Tuendelee kumsemea mama kwa nguvu zote,

Natamani nchi nzima ijue kazi kubwa mama anafanya
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ