Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI


UWESU ANACHAPA KAZI SANA

#KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI
 
mwaka wa ngapi huu maji yanaondoka Ruvu kwenda dar? Na siye wa karibu tunaingizwa kwenye ilani kila siku?
Mkuu hakuwa Samia,

Ipe muda serikali ya awanu ya 6,,
 
Hakika mkuu wangu....

Hayati JPM hakukosea kumteua kuwa mgombea mwenza.....JINA LAKE ni KUSIKIA/USIKIVU/MSIKIVU😍
 

 
Ilani haiwezi kuwa zaidi ya Utashi mkuu,

Amina wanachokwambia
Utashi utashi utashi.....

Unaweza kuwa na ilani nzuri ISITEKELEZWE.....

Ni sawa na wale jamaa wanaoidai KATIBA MPYA.....hata ikipatikana HAIJIENDESHI........🀣
 
Adumu Chifu Mkuu Hangaya
Zidumu fikra sahihi za Chifu Mkuu Hangaya😍
Zidumu milele πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ€›πŸΏπŸ€›πŸΏ

Anajenga SGR- YEYE
Bwawa la Umeme SG- YEYE
MSALATO AIRPORT - YEYE
UNUNUZI WA NDEGE -YEYE
BASI ZA UDART 70 -YEYE
MKOA CHATO-YEYE
MADARASA ELFU 15- YEYE
VITUO VYA AFYA 220-YEYE
LAMI KILA KONA -YEYE
MIKOPO KILA MWANAFUNZI -YEYE
MISHAHARA JUU-YEYE
AJIRA ELFU 40-YEYE

ENDELEA ............
 
waziri wa maji huyu kijana yupo vzr sana. Afu samiah sio mwizi ni rais mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…