BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

Ndiomana nakwambia umjui Shekhe ponda vizuri
Zaidi unamjua juu juu tu.
Sihitaji kumjua.

Najua harakati zake.

Mojawapo ikiwa ni vita juu ya BAKWATA.

Mengine ya famikia yake, hayanihusu.
 
Kwani unataka naTEC nao wakodi masheikh vibaka kama BAKWATA waanze kutangaza kukata watu vichwa? Movement za TEC ni very technical kijana hao sio akili ndogo kama hao ubwabwa
Sasa mbona walitaka kuangusha serikali kwa kutumia waumini wao wanaodai kuwa ni wengi na wakashindwa?...
Hizo technical movement ni zipi?
TEC now wanadharaulika na gov kuliko taasisi yeyote nchi hii
 

..uko sahihi.

..Tanzania bado inamtafuta Askofu Desmond Tutu wake.
 
Kwani unataka naTEC nao wakodi masheikh vibaka kama BAKWATA waanze kutangaza kukata watu vichwa? Movement za TEC ni very technical kijana hao sio akili ndogo kama hao ubwabwa

..technical kivipi wakati nchi ina hali mbaya namna hii?

..huu sio wakati wa kumung'unya maneno, au kupima upepo, katika masuala ya HAKI.
 
Kuwa neutral ni jambo jema ila lazima walio neutral wawe wanatetea haki na wanakemea maovu.
 
Ndio maana inasemekana wana takwimu kamili ya vifo vilivyotokana na mauaji ya october 25.

Sababu ya structure ya taasisi yao inayofika hadi mashinani.
 
Nadhani unalinganisha taasisi mbili zisizolinganishika. Kimsingi, BAKWATA ni jumuiya ya CCM kama zilivyo jumuiya zingine za CCM (Vijana, Wazazi, Wanawake, etc). Msimamo wa CCM ndio msimamo wa jumuiya zake zote!
 
Hizi dini zemeletwa kwa mashua na majahazi zimewapumbaza wajinga wengi ukiwemo
 
Ndio maana inasemekana wana takwimu kamili ya vifo vilivyotokana na mauaji ya october 25.

Sababu ya structure ya taasisi yao inayofika hadi mashinani.
Kama wanazo takwimu zao kamili kwa nini hawaziweki hadharani ? Hizo takwimu za sirini hazimsaidii yeyote, hazina maana.
 
Kama wanazo takwimu zao kamili kwa nini hawaziweki hadharani ? Hizo takwimu za sirini hazimsaidii yeyote, hazina maana.
Yoda nimesema “inasemekana “ don’t come for me plz 🤣
 
..uko sahihi.

..Tanzania bado inamtafuta Askofu Desmond Tutu wake.
Askofu Tutu sellout aliye-support ushoga mpaka na binti yake akaoa mwanamke wa Kizungu? Fedha za Church of England zilimtoa ufahamu mpaka akajitenga na Anglicans wenzake kutoka nchi nyingine za Afrika walipopinga legalization ya ushoga.
 

Hii ni mada nzuri; tena iliyo wazi kabisa bila ya hila wala hiyana ndani yake..

Ila kinachokosekana katika fikra zao kni kusahau kuwa kuna Tanzania; ambayo ni muhimu zaidi ya CCM, BAKWATA, TEC, na hiyo serikali inayowafanyia kazi CCM na BAKWATA sasa hivi; badala ya kuwafanyia kazi waTanzania..

Unachowekea mkazo wewe ni CCM na BAKWATA na serikali yao na kusahau kwamba kuna Tanzania iliyo na waTanzania wa aina zote, wengi wakiwa hawana habari na hao BAKWATA, CCM, TEC, n..k.

TANZANIA ni ya waTanzania, siyo ya kundi lolote unalotaja wewe.

TEC wanajaribu kujiepusha na mfungamano huo, wa hilo kundi la CCM au kundi la BAKWATA. Wanataka Tanzania iruhusiwe kushamiri, siyo hayo makundi yenye maslahi.

Kutokana na hali inavyokwenda sasa, ni lazima TEC wawe wawazi kwa kondoo wao, ambao nao ni fungu la waTanzania wawaeleze ukweli kama ulivyoueleza hapa kwenye mada yako; na kama BAKWATA walivyofanikiwa kuueleza kwa wafuasi wao, ambao pia ni sehemu/kundi moja la waTanzania.

Ninaamini kabisa kwamba ufahamu huu ukiwekwa wazi kwa waTanzania wote na wakauelewa; hakuna shaka yoyote kwamba Tanzania itawekwa mbele na kila kundi husika dhidi ya hizo kambi zinazowagawanya sasa hivi.

Kwa hiyo, mimi nawaomba TEC waondokane na hiyo tabia ya kinafiki. Wawe wawazi tu, wakweli; ili waeleze waziwazi kinachoendelea sasa hivi Tanzania.
 
Askofu Tutu sellout aliye-support ushoga mpaka na binti yake akaoa mwanamke wa Kizungu? Fedha za Church of England zilimtoa ufahamu mpaka akajitenga na Anglicans wenzake kutoka nchi nyingine za Afrika walipopinga legalization ya ushoga.
Basi hata Julius Malema ni sellout kwa sababu anasapoti mashoga.
 
Hata wawe wamesoma vipi ila haiondoi ukweli kuwa "wao bado wako katika ujahili" kwa maana wamepotea

Kwa bakwata, kama wanatumika kisiasa basi kwa Allah watakua na lakujibu.
WaTanzania hawatasubiri majibu ya huko kwa Allah. Majibu yao wanayataka hapahapa.
 
Askofu Tutu sellout aliye-support ushoga mpaka na binti yake akaoa mwanamke wa Kizungu? Fedha za Church of England zilimtoa ufahamu mpaka akajitenga na Anglicans wenzake kutoka nchi nyingine za Afrika walipopinga legalization ya ushoga.

..nazungumzia rekodi ya Desmond Tutu kabla hajaunga mkono ushoga.
 
Basi hata Julius Malema ni sellout kwa sababu anasapoti mashoga.
Malema si kiongozi wa kanisa, yuko sahihi kabisa kuwa msimamo wake huo na ni haki kwa chama chao kuwa na msimamo huo kwani wao hawabanwi na vitabu vya dini(I'm not religious). Ni aibu kwa kiongozi wa kidini kwenda kinyume na vitabu anavyowaaminisha waumini wake.
 


Haki haina Upande.
Ni kama Ukweli tuu.

Haki ipo pande zote.
Watawala wana haki zao, na watawaliwa wanahaki zao


Kwenye Haki lazima uwe Neutral ili uweze kutenda Haki
Yaani unasikiliza huku na huku. Unawapa haki upande huu na upande huu. Kila mmoja na haki yake.

Ukishakuwa na upande automatically dhulma inajitokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…