None sense na hii ndio dalili nyingine ya kuchanganyikiwa. Kwanza tangu lini Pole pole aka sympathise na Samia kwake yeye si chochote na hastahili chochote kwenye Uraisi. Sasa leo anataka kumpigisha shoti na Raisi Mstaafu ili wagombane na waonane maadui.Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Mjinga yupo ikulu anaendeshwa na Mzee wa msoga,huku mtaani Hadi Mtoto wa darasa la pili anajua kuwa nchi ina Maraisi wawiliSamia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?
Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!
Hoja ya kijinga Sana hii.
Nani kati ya sisi hapa wanaokumbuka redio kiroboto?Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Waache wamdharau mtu aliyeishi CUBA.Ukimuuliza dc wa kisarawe atakuambia Polepole ni nani?
Nilichogundua wengi tunamchukulia Polepole ni mtu wa kawaida na ccm juzi juzi tu ana miaka mitano, sio kweli
Kwa vile ana pesa basi analeta dharau kwa kila mtu, tusubirie round ya 4 itakuwaje kama Rostam ataguswa au lah!Waache wamdharau mtu aliyeishi CUBA.
Magu aliuawa hilo lipo waziKile kifo hakikuwa cha natural.
Kama CIA ndo atafune nchi yetu?Hiyo namba chafu ni CIA
Si aliomba msamaha au Hukumbuki kuna uzi hapa ulipandishwa wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti .Lissu alimpromote Lowassa kumbuka Hilo Kwanza
Mengi yataibuka sana kwenye huu mgogoroKikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.
Sustem ilishatekwa. Waaay back, walio wahi ku serve kwenye vyombo karibu na rahis wanafahamu hiloHivi wakati hawa wanamtandao wanajenga himaya yao toka chini system ilikuwa wapi?
Maana kwa namna inavyoonekana na kusemwa inawezekana hata hiyo system yenyewe nayo imeshatekwa na hakuna mwenye uwezo tena wakupiga comeback zaidi ya Mwenyezi Mungu mwenyewe kuingilia kati.
Wahuni chini ya kiongozi wao inaonekana walisukuma kete zao vizuri na bado wanazisukuma vizuri, hata hii game sijui ya JM kukatwa na blah blah nyiiingi ni kete tu wanazisukuma.
Mama anapiga mpaka 2030, Mwigulu anachukua mpaka 2040, huyo JM 2040 anakuja kama VP au PM.. Wahuni wanajua game wanayoicheza.
ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
Ccm wamemkumbatia kitambo sana inatoshaKama CIA ndo atafune nchi yetu?
Wapi ambapo umeona Lowassa aliomba msamaha?Si aliomba msamaha au Hukumbuki kuna uzi hapa ulipandishwa wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti .
Lakin deep kabisa na wewe unajua master mind kwa lowasa alikuwa mbowe kipndi hicho hata kugombea uenyekiti lissu hakua na uthubutu huo
Kusema Rais anahujumiwa ni kumtetwa Rais kwamba yeye hafanyi vibaya, hana nia mbaya, ila anahujumiwa tu.Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Lissu sio lowasaWapi ambapo umeona Lowassa aliomba msamaha?
duu.tuombee nchi kwa bidii.kwani rais akifa katiba inasemaje?makamu wa rais anachukua madaraka.connect dotkwa nadhalia hiyo mnayosema je kama wahuni ndo wanahakikisha ashinde, atauliwa na nani?
Kikwete anabebeshwa mzigo mzito wa dhambi, makosa aliyoyafanya ujanani yanaendelea kuhusishwa nae mpaka uzeeni.Samia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?
Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!
Hoja ya kijinga Sana hii.
Tuchunge sana tusije kujichumia dhambi bila ya sababu za msingi. JPM moyo wake ulikuwa mbovu kabla hata hajakwenda masomoni Uingereza, aliishi na betri kwenye moyo.Kikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.