ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Wawekezaji si yeye na genge lake wakiwa na kiongozu mwandamizi toka Msoga.Loading..... Hahaha.
Bila Mbowe kutanguliza njaa mbele Lowassa asingekanyaga CHADEMALissu, mnyika na Lema walisema wanajua ufisadi wa Lowassa lakini wakawa sehemu ya kumpokea kwenye chama na kumsafisha kwenye kampeni je vipi hawa unawaamini?
Mkuu uwezi kuchukuwa hatua kiraisi yaani wao ndio wanakuongoza na Bado wanakupigania uendelee kuwepo na ndio maana polepole amesema yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na ndio serikali ya pili ambayo inayoendeaha nchi ambayo haitambuliki na ambao ndio Ina nguvu huyu polepole ukimsikiliza kimakini Kuna mambo mengi anayajua yapo nyuma ya pazia na ndio maana hao hao ccm wanampinga vikali na ndani ya ccm Kuna matabaka yameshagawanyika Yale yanayosema ukweli yameshamalizwaSamia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?
Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!
Hoja ya kijinga Sana hii.
Mkuu uwezi kuchukuwa hatua kiraisi yaani wao ndio wanakuongoza na Bado wanakupigania uendelee kuwepo na ndio maana polepole amesema yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na ndio serikali ya pili ambayo inayoendeaha nchi ambayo haitambuliki na ambao ndio Ina nguvu huyu polepole ukimsikiliza kimakini Kuna mambo mengi anayajua yapo nyuma ya pazia na ndio maana hao hao ccm wanampinga vikali na ndani ya ccm Kuna matabaka yameshagawanyika Yale yanayosema ukweli yameshamalizwa
Alisikika mtoto wa mkulima akisema Cwenye chama wameamua π³ ! π±π€·πΎββοΈπ !Mkuu uwezi kuchukuwa hatua kiraisi yaani wao ndio wanakuongoza na Bado wanakupigania uendelee kuwepo na ndio maana polepole amesema yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na ndio serikali ya pili ambayo inayoendeaha nchi ambayo haitambuliki na ambao ndio Ina nguvu huyu polepole ukimsikiliza kimakini Kuna mambo mengi anayajua yapo nyuma ya pazia na ndio maana hao hao ccm wanampinga vikali na ndani ya ccm Kuna matabaka yameshagawanyika Yale yanayosema ukweli yameshamalizwa
Kwenye hiki ulichoandika ulitaka Serikali au Viongozi wajibu hoja gani?Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Ooh hapa inamake sense.Alimuona anataka kumpanda kichwani kama anavyompanda Samia. Magufuli alivoingia alifanya ambayo wanamtandao hawakuyatarajia. Walidhani atakua mwenzao.
We hushangai leo Samia anajitam ulisha kuwa nae ana bossi wake ambaye ni Kikwete hivi nchi hii Kuna boss kumzidi Rais?
Umbea wa mitaani umeshika hatamuKatika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Yeye mwenyewe layman asijitukuze akajipa ukuu ambao hana.Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Punguza sauti watakuhisi vibaya.Fisadi Papa.
Mzee wa Vieite ni wale wale tu. Anamsagia kunguni baada ya Mabeyo kuzuia upuuzi ambao kundi lake lilitaka kufanya mwaka 2021 baada ya JPM kufariki dunia.Unadhani polepole alikuwa halambi asali?
Kwa sababu Kikwete ni muuaji,yaani unaelewa taratibuNinachokionq hapa Polepole anapiga kelele kuwakilisha sukuma gang ambayo imesukumwa pembeni hivi sasa. Hata Musiba amepatwa na msiba mkubwa, amelalama kweli kweli.
Kusema kuwa Samia amwzungukwa na wanamtandao kunafoa tafsiri kwamba Samia ni mwema Ila wanamtandao ndiyo wabaya. Jambo ambalo si kweli. Kwann Polepole anaonekana kujikomba kwa Samia na kumnanga Kikwete muda wote??
Ushahidi kuwa siasa ni maslahi.Bila Mbowe kutanguliza njaa mbele Lowassa asingekanyaga CHADEMA
Wewe mlamba makalio ya makada na ww umegeukwa?Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
MachawaAnaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Layman anaweza kuwa ni mtu wa namna gani kwa muktadha huu?
Hata mimi hiki kitu kinanifikirisha sana kujiuliza je ana kinga gani?Polepole ana sapoti ambayo haijajiweka wazi sana na mkakati upo hivyo ni suala la timing tu Kila kitu kimepangiliwa vyema kuhusu nani aongee Nini na kwa wakati gani. Unadhani polepole kujiuzulu na kurudi nchini kuyaongea haya hajui madhara yake?
Mwanae anagombea wapi?Hapana mkuu, hii kitu ina impact kubwa sana na uzuri ushahidii wa kimazingira unajionyesha wenyewe na mfano ni Mke wa JK na mwanae kupita bila kupingwa bila kusahau Bii Mkubwa nae mwanae na mkwe wake wote wamepitishwa kuwa wagombea.
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya unasema Rais mwanamke atatawala muhula mmoja tu au wanaweza kumwacha aingie tena lakini wakafanya yao kisha makamu akawa Rais au pia wanaweza kumwekea shinikizo abadili mawazo wamwengue na mchakato uanze upyaHii hoja siyo ya kijinga huu ni mtego ambao Samia mwenyewe anatakiwa kuujibu. Kuna uwezekano na yeye ni mmoja wao, Kuna uwezekano amezungukwa na watu anaodhani Wana msaada na yeye hapo alipo au Inawezekana anaogopa labda Wana nguvu ya kumuua. Muda siyo mrefu tutapata jibu sahihi mambo yanachemka chini kwa chini. Chama hakiwezi kukabidhiwa kwa majambazi.