TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Kuna discovery iliungua toure drive pale km miezi minne ioiyopita
Kuna VW iliungua nayo kitonga yapata miezi 3 iliyopita, ninahotaka kukueleza ni kwamba ajali inaweza tokea regardless chombo kinachotumika.

Muhimu:
Mwendokasi unaua!
Na hizo gari ulizotaja, ziliungua wakati madereva wake wapo ndani ya gari?

Suala kuu hapa sio kuungua tu, ni kuungua wakati dereva yupo ndani ya gari, na hatuoni kama ilikuwa ni kuungua kutokana na kugongana au kupinduka. Sasa ukizingatia gari imekutwa imeungua na dereva yumo ndani, kama una akili sawasawa utaanza kujifikirisha, hasa ukiambiwa dereva ndio kwanza karudishwa nchini kwa tuhuma za kubaka huko Austria
 
Kuna jambo kwenye hii ajali ya huyu Balozi, katika eneo la tukio alitolewa yeye akaachwa mwanamke ambaye hadi muda huu hajatambuliwa ila taarifa za kimamlaka hazijamtaja huyo mwanamke kuwa katika ajali na Balozi.
 
uzoefu wa hali ya juu unatakiwa unapoendesha katika vinjia vipana/vichochoro tulivyoviita barabara kuu.
RIP balozi, ungekodi mzoefu akuendeshe mpaka moshi na kurudi
 
Mkuu Wimbo wa Taifa, National Anthem, kwanza ni kweli, sio kila kifo ni mpango wa Mungu, vifo vingine ni mpango wa mwovu shetani, ila anayeruhusu roho itoke ni mmoja tuu!, Mungu!. Hivyo lolote likitokea, hata kama ni mipango ya shetani, anayeruhusu roho itoke ni Mungu!, ndio maana hata pale Dodoma kwenye zile pyu pyu, zikamiminwa zaidi ya 30!, 16 zikampata na hakufa!, ila ilikuwa ni kazi ya shetani!, Mungu hakuruhusu kifo!, tena usikute wahusika ni wale wale ambao ukikosa kutimiza malengo kwa 3 tuu, unaandika maelezo!.
Maisha na matukio yanaweza kuwa ni kazi ya shetani lakini uhai na kifo ni kazi ya Mungu.
RIP Balozi Mushi!.
P
Kwani we ni mgeni wa mambo haya
Hata kama yanafanyika hayajaanza leo wala jana
Kwenye mambo ya ki inchi kiserikali
Mambo ya kawaida tu kufanyika

Ova
 
Ni juzi tu huyuhuyu alituhumiwa kwa ubakaji huko austria na kufukuzwa nchini humo.
 
Vifo vya wakubwa huambataba na vitetesi sana. Kana kwamba wao hawastahli vifo... Hata anko Magu kifo chake kuna vitetesi lukuki...
Magu nilikuwa sina wasiwasi ataondoshwa haraka na niliwahi kumwambia rafiki yangu hapa kuwa huyu jamaa hamalizi mwaka na akaondoshwa. Ndege usiwamwagie mtama kilaini, for sure jamaa alishughulikiwa. Hili Halina mjadala
 
Magu nilikuwa sina wasiwasi ataondoshwa haraka na niliwahi kumwambia rafiki yangu hapa kuwa huyu jamaa hamalizi mwaka na akaondoshwa. Ndege usiwamwagie mtama lani for sure jamaa alishughulikiwa. Hili Halina mjadala
Naye alikubali kushughulikiwa wakati yeye ndio alikuwa bosi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama? Jamaa alikuwa mzembe sana basi....
 
Naye alikubali kushughulikiwa wakati yeye ndio alikuwa bosi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama? Jamaa alikuwa mzembe sana basi....

Putin mwenyewe kakoswa koswa mara kibao ije kuwa Bongo? Unajua mpaka sasa hivi watu wangapi karibu na Putin wameshakufa/uliwa ni kama 10, TZ haina uwezo wa kuwazuia Globalists wakiamua jambo, Trump mwenyewe walimuondoa kwa hila au unafikiri Trump alishindwa uchaguzi? Sasa hivi Irani kinanuka unafikiri ni nani anafanya yote hayo? Kwanza hata Malkia mwenyewe kuna wanaosema kanyamazishwa ije kuwa bongoyoso?

Hao watu wa Putin waliouliwa/kufa mpaka sasa hivi

1671186518519.jpeg
 
Back
Top Bottom