Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Haaaahaaaa...Yeye na wenzake wataishi milele. Sisi wengine, mbele umetangulia..sisi twajaWatu wazuri hawafi, alisikika Msemaji wa ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaahaaaa...Yeye na wenzake wataishi milele. Sisi wengine, mbele umetangulia..sisi twajaWatu wazuri hawafi, alisikika Msemaji wa ikulu
Na hizo gari ulizotaja, ziliungua wakati madereva wake wapo ndani ya gari?Kuna discovery iliungua toure drive pale km miezi minne ioiyopita
Kuna VW iliungua nayo kitonga yapata miezi 3 iliyopita, ninahotaka kukueleza ni kwamba ajali inaweza tokea regardless chombo kinachotumika.
Muhimu:
Mwendokasi unaua!
inaemekana ziligongana ndio hiyo Crown ikawaka moto!!na hatuoni kama ilikuwa ni kuungua kutokana na kugongana
Really really so sad I Know this man. Brilliant and intelligent.What a loss!
Really really so sad I Know this man. Brilliant and intelligent.
Dah mangu R.I.p
Accumen Mo tumepata msiba jamani
Acha ushirikina🤣🤣Mkata pameanza kunywa damu ya December
Kwani we ni mgeni wa mambo hayaMkuu Wimbo wa Taifa, National Anthem, kwanza ni kweli, sio kila kifo ni mpango wa Mungu, vifo vingine ni mpango wa mwovu shetani, ila anayeruhusu roho itoke ni mmoja tuu!, Mungu!. Hivyo lolote likitokea, hata kama ni mipango ya shetani, anayeruhusu roho itoke ni Mungu!, ndio maana hata pale Dodoma kwenye zile pyu pyu, zikamiminwa zaidi ya 30!, 16 zikampata na hakufa!, ila ilikuwa ni kazi ya shetani!, Mungu hakuruhusu kifo!, tena usikute wahusika ni wale wale ambao ukikosa kutimiza malengo kwa 3 tuu, unaandika maelezo!.
Maisha na matukio yanaweza kuwa ni kazi ya shetani lakini uhai na kifo ni kazi ya Mungu.
RIP Balozi Mushi!.
P
Unamiliki kari gani kati ya hizo?R.I.P boss
Ila kwa safari ndefu tena kutoka Dar mpaka Moshi ni Bora kutumia SUV tu kwa mfano
1. Hyundai Genesis GV80 ya 2022
2.Volvo XC90 ya 2022
3.BMW X6 GT30 ya 2020
1Unamiliki kari gani kati ya hizo?
Hongera, tupe experience basi ya road trip na hiyo machine yako mkuu.
Passo na starlet zinatoKa mwanza to dar nonstop sembuse crown, kuwa serious mkuuR.I.P boss
Ila kwa safari ndefu tena kutoka Dar mpaka Moshi ni Bora kutumia SUV tu kwa mfano
1. Hyundai Genesis GV80 ya 2022
2.Volvo XC90 ya 2022
3.BMW X6 GT30 ya 2020
Mkuu jazia nyama comment yakoNdo kifo cha kuuungua kama mshikaki👉😥.
Tunajua Kuna jambo behind the scene ..
Magu nilikuwa sina wasiwasi ataondoshwa haraka na niliwahi kumwambia rafiki yangu hapa kuwa huyu jamaa hamalizi mwaka na akaondoshwa. Ndege usiwamwagie mtama kilaini, for sure jamaa alishughulikiwa. Hili Halina mjadalaVifo vya wakubwa huambataba na vitetesi sana. Kana kwamba wao hawastahli vifo... Hata anko Magu kifo chake kuna vitetesi lukuki...
Naye alikubali kushughulikiwa wakati yeye ndio alikuwa bosi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama? Jamaa alikuwa mzembe sana basi....Magu nilikuwa sina wasiwasi ataondoshwa haraka na niliwahi kumwambia rafiki yangu hapa kuwa huyu jamaa hamalizi mwaka na akaondoshwa. Ndege usiwamwagie mtama lani for sure jamaa alishughulikiwa. Hili Halina mjadala
Ila Jamaa alikuwa anagonga totoz balaa. Yani alizidisha. Isijekuwa alikula kitu.Ndo kifo cha kuuungua kama mshikaki👉😥.
Tunajua Kuna jambo behind the scene ..
Naye alikubali kushughulikiwa wakati yeye ndio alikuwa bosi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama? Jamaa alikuwa mzembe sana basi....