imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hakuna huo ushahidi.Mbowe ndio alisaliti upinzani akahongwa na Lowasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna huo ushahidi.Mbowe ndio alisaliti upinzani akahongwa na Lowasa
😄😄😄Mzungumzaji anahoji kama ni ubinafsishaji kwa nini bunge lisibinafsishwe? Amenipa raha sana. Akiendelea hivi naweza kukojoa
Hapo anaumia kweli mwarabu kupewa bandari,huenda nchi imeamua kuhamia arabuni kiuwekezaji,Sasa 'akina slaa' huwa wanaogopa chochote Cha mwarabu,huko nyuma hata misaada yao tukiikwepaHawa wawili ndio waliratibu Ziara ya Papa Yohanne nchini!
Ukiwa balozi unakuwa na cheo cha heshima maisha yako yote. So, hata salary na posho ataendelea kuvuna ^hadi mwisho wa mkataba huu kuisha^ 🙂 ~ in Mbarawa's voice.Huyu msanii tu anatafuta pakutokea.
Pesa ya Canada ishakata.
Nyerere hakuipenda Ikulu ya Mkoloni na ndiyo maana alikuwa akilala MsasaniMbona Mwalimu Nyerere aliishi kwenye Ikulu iliyojengwa na Mkoloni.
Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World.
=======
Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe makubaliano ya awali yalifanyika tarehe 28 February, kampuni ya DP World na bandari waliingia kwenye makubaliano yalitokana na shughuli iliyofanyika Dubai expo 2022, hatujaambiwa ni tathmini gani au utafiti gani ulifanyika
Kwenye expo, kwenye maonesho kama yale ya sabasaba Dar es Salaam watu wanaingia kwenye mkataba mkubwa wa kulifunga Taifa, nadhani mnaelewa hiyo maana yake ni nini!
Hadi wakati huu Taifa na watanzania walikuwa hawajapewa taarifa yoyote ile inayohusu mkataba mkubwa wa aina hiyo.
Naomba kuwakumbusha pia kuwa pamoja na mkataba huu, katika Dubai 2020 Serikali ya Tanzania iliwakilishwa na Rais mwenyewe kulisainiwa mikataba 17, nani kati yenu hadi leo hii anaifahamu mikataba 17 inahusu nini, ni usiri mtupu, ni nchi inaingizwa kwenye giza, Rais wa Nchi amehudhuria lakini mambo hayo yote yako ndani ya giza.
Waliohudhuria maonesho ni viongozi wa Serikali, wamesafiri, wamelala hoteli, wamekula chakula kwa kodi ya watanzania, ni Tanzania pekee ambako Serikali haiwajibiki kwa wananchi wake, jambo ambalo katika hatua hii, jambo ambalo linalazimisha kuwakumbusha uhitaji wa haraka wa katiba mpya na bora.
Hii taarifa tunayozungumzia hatukuipata Serikalini, tumepata taarifa iliyovuja. Ni nchi gani duniani tunasubiri taarifa ivuje tuanze kuizungumzia. Siku siku 30 zilizotajwa kwenye mkataba na Bunge, kwa maneno mengine umeridhiwa ndani ya siku 30 lakini umekuja kuridhiwa baada ya miezi takribani 8, kwa hali hiyo tuna uhakika gani Tanzania ina uwezo wa kutimiza mkataba huu kama mwanzo tayari ni mbaya na hakuna anayeeleza uchelewashaji huo unatokana na nini.
Dkt. ametoa hoja zifuatazo
- Dkt. Slaa: Nchi inayojulikana kisheria ni United Arab Emirates, Je Dubai ni Serikali? Dubai ni mji unaojiongoza, sisi ni nchi ya Jamhuri ambayo maamuzi yetu yanafanyika kwa kutumia Bunge. Bunge lilitangaza wanataka maoni ya wananchi tarehe 5 Juni wanaotoka maeneo mbalimbali wawe wamefika bungeni tarehe 6. Kwa saa 24 mtanzania gani anafika Dodoma na kutoa maoni yake. Ni dhahiri kuliwa na hila na Serikali haikuwa na nia ya kushirikisha wananchi wake. Hatukushirikishwa na imepelekwa bungeni na mjadala ulivyokuwa bungeni ulikuwa ni mjadala wa ki-mangimushi
- Aidha ikumbukwe Serikali iliyopo ina legitimacy ya wasiwasi kutokana na uchaguzi wa 2019 na 2020. Simung'unyi maneno, uchaguzi wa 2019 na 2020 inaweza kuwa na legitimacy lakini sina hakika kama uchaguzi huo ulikuwa sahihi, najua ulivurugwa kwa makusudi na chama cha mapinduzi na vyombo vyake. Mwenye macho haitaji kuambiwa kuhusu hilo na wananchi wote ni mashahidi.
- Kwa mujibu wa kifunge cha nne cha IGA kinatamka wazi rasilimali zote zilizotajwa zinakabidhiwa kwa Serikali ya kigeni. Rasilimali hizo ni bandari zote za nchi nzima(bahari, maziwa, mito, zitakazokuwepo hata kwenye mabwawa) yale yote yaliyokuwepo leo na hata yatakayokuja. Huu ni uuzaji wa nchi, hakuna mwenye Tanzania mwenye akili atakaekubali jambo hilo bila uhakika wa rasilimali zake hizo.
- Serikali ya awamu ya nne wakati inataka kutaifisha mashirika muhimu ikiwemo bandari, aliyetupa taarifa alifukuzwa kazi. Alitupa taarifa ya kutokubali kuyataifisha kutokana umuhimu wake kwa usalama wa Taifa. Dk
Dkt. Slaa ameongelea mfano wa mbia katika kampuni ya mafuta wakati wa vita ya Uganda ambapo Tanzania ilikuwa inamiliki 51% katika kampuni hiyo huku mbia akiwa na 49% lakini aliweka ngumu kwasababu alidai mtu tunayepigana nae ni mbia wake pia hivyo. Slaa amedai kwa siku 5 vifaa havikuweza kuondoka kwasababu ya mafuta wakati nchi inaendelea kupigwa.
Mwalimu aliwekwa na Jesuits ambao ni Wazungu sasa alikuwa anaigopa nini alikuwa anatuzuga tu.Nyerere hakuipenda Ikulu ya Mkoloni na ndiyo maana alikuwa akilala Msasani

jibu hoja zake msanii wa wapi?Huyu msanii tu anatafuta pakutokea.
Pesa ya Canada ishakata.
Lissu anatoshaDr Slaa nakuomba urudi Chadema tujenge nchi pamoja 2025.
Nabado ndo wanaji tetea wako sahihiHuwezi kuwapa bandari za maziwa, bahari, mabwawa na mito na lolote lijalo kuhusu bandari ukasema una nchi. Umeuza nchi
Mmeanza kutubu sasa.Huyu Samia kwa mara ya kwanza nadiriki kusema ni kiongozi asiyefaa hata kidogo