Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

Soma uelewe wewe mvaa makobazi
Tunaelewa sana tunachokisoma na tunaelewa sana hizi ni chuki za kibaguzi tu, hakuna zaidi. Hata kauli zako hazijifichi.

Wewe hivyo viatu vyako bila Salim Ahmed Salim kuruhusu mitumba ungekuwa unapekuwa mpaka leo.

"Wavaa kobazi" ndiyo waliokuletea ustaarabu ambao unakushinda mpaka leo hii.

Usisahau hilo.
 
Huu Muungano unaigharim sana Tanganyika hakuna faida yoyote tunayopata toka Visiwani zaidi ya kuingia hasara tu
Tatizo siyo muungano, bali tatizo ni kuwa na akili mbovu na zisizofaa miongoni mwa Watanzania wengi.
Kwani raia wa Tanganyika au Znz kwa uwingi na umoja wao hawawezi kuwazuia watawala wa hovyo wasiofaa wasiwafanyie mambo ya hovyo ktk nchi yao??? Je, kwani muungano umekuzuia usiandamane kudai haki zako au kuoinga jambo fulani la hovyo ambalo limefanywa na watawala wa nchi hii??
 
Mavi-jana yenyewe yamegeuka kuwa machawa!
Na hili kosa litatugharimu sana, itafikia kipindi hawa Wazee wezi watauza kila kitu alafu Vijana wakose hata ardhi ya kuwekeza.

Itafikia kipindi ukitaka kujenga inakulazimu uombe kibali huko Uarabuni utasema hii sio Nchi yetu
 
Acheni kuwasingizia wazee! 2020 tulipokuwa tunapiga kura vijana mlikuwa wapi? 2020 wakati Magu anaiba kura vijana mlikuwa wapi? Kwa hiyo tulieni kabisa maana hata ndiyo madhara ya ujinga wenu kukimbia sanduku la kura! Wabinafsishe tu!
Sio kwamba vijana wote hawapigi kura, Kura zinapigwa ila watawala wanatumia Jeshi kuzilinda na mabunduki

Siku Jeshi likiungana na Watazania basi hawa watawala wezi wasiojali kesho ya vijana ndiyo itakuwa mwisho wao
 
Tatizo vitisho, mbna watu wangetoka nje kutafuta suluhu, ulemavu wa ukubwani mchezoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna Serikali inaweza kuua Raia wake wengi kwa mara moja, imagine wameandamana Wananchi laki 2 hapa DSm unadhani Serikali itaweza kuwapiga wote Risasi

Hapo ni uthubutu tu
 
Hakuna Serikali inaweza kuua Raia wake wengi kwa mara moja, imagine wameandamana Wananchi laki 2 hapa DSm unadhani Serikali itaweza kuwapiga wote Risasi

Hapo ni uthubutu tu
Sio hawa wa kwetu, mbna Suma JKT wataingia kuwapa ulemavu watu had bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Km kwa mkapa walifanya vile, tena tukio la michezo la furaha, ndo iwe maandamano ya kudai haki?? Thubutuuu
 
Sio hawa wa kwetu, mbna Suma JKT wataingia kuwapa ulemavu watu had bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Km kwa mkapa walifanya vile, tena tukio la michezo la furaha, ndo iwe maandamano ya kudai haki?? Thubutuuu
Basi huenda hao Suma JKT watakuwa wana Nchi nyingine ya kwenda hii ya Tanzania ikishauzwa kwa hao Waarabu.

Lakini wao pia kama hawana Nchi nyingine zaidi ya hii tuliyonayo basi wanatakiwa kuungana na Wananchi wao.
 
Basi huenda hao Suma JKT watakuwa wana Nchi nyingine ya kwenda hii ya Tanzania ikishauzwa kwa hao Waarabu.

Lakini wao pia kama hawana Nchi nyingine zaidi ya hii tuliyonayo basi wanatakiwa kuungana na Wananchi wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua unajua, ila unabisha tyuuh.
 
Kwani Tanzania ndo nchi ya kwanza kufanya hilo?
Tuanzie hapo kwanza..
Isije ikawa wanufaika na Chaka la Nyani la Sasa ndo mmeshupalia bango, maana madili na ajira za kupeana zitakwama...
 
Bandali kwa miaka mingi inaendeshwa na private sector, kuna kwmpuni moja lilimaliza muda wake mwakw jana sijui tis nadhani sasa nafikiri zabuni mpyw imefika hivyo si ajabu sana
Apa umechanga ni same operations ndo zinaendeshwa ivyo...kama zile zilizomaliza mdaa wake ilikuwa n ikupakuwa na kupakia mizigo.....hawa Dp wanakuja kufanya full operation za bandari ya daha
 
Bei Elekezi! Wewe ndio hujui lolote wala chochote zaidi ya kuandika hovyo humu jf
 
SAWA tuseme wanasiasa wametega mirija Yao, Kwanintunawaogopa Nini kuwatoa Hadi tulete kampuni kutoka nje?
SAWA wanajinufaisha,Je pesa inazunguka humu nchini au inaenda nje kama muwekezaji ambapo akipata faida anapeleka kwake.
Ilanbado sijausoma huo mkataba ngoja kwanza tuone
 
Naomba kufahamu kwani wamekodisha bandari zote? Na kingine vipi silaha zetu zotena na mambo mengine lazma yapitie dar es salaam pekeyake........ bado siungi mkono ukodishwaji wa bandari yetu kama kulikuwa na mapungufu nivema tukaya fanyia kazi ..... naomba kueleweshwa hapa
 
Hizo silaha ni za kugombana na nani!!!
 
Ushawahi kuona wapi CCM wanajali hilo...

Ni hawa hawa CCM waliosaini mikataba mingi ya ajabu hapo nyuma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…