Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

Bandali kwa miaka mingi inaendeshwa na private sector, kuna kwmpuni moja lilimaliza muda wake mwakw jana sijui tis nadhani sasa nafikiri zabuni mpyw imefika hivyo si ajabu sana
Bandari
 
.
JamiiForums-1848013428.jpg
 
Hakuna ga Siri dunia ya sana..adui zako wakitaka Siri watapewa na waliotuuzia
 
Bandali kwa miaka mingi inaendeshwa na private sector, kuna kwmpuni moja lilimaliza muda wake mwakw jana sijui tis nadhani sasa nafikiri zabuni mpyw imefika hivyo si ajabu sana
Shida ni kwamba jamaa wanataka wajiwekee ulinzi wao...hawataki ulinzi kutoka Tanzania
 
Ngoja tuendelee kuibiwa na hawa Wazee hadi akili ziturudie.

Vijana si bado wamelala [emoji2297]
Tatizo vitisho, mbna watu wangetoka nje kutafuta suluhu, ulemavu wa ukubwani mchezoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.

Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?

Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi wake, huoni utakuwa unatoa siri za uwezo wa jeshi lako bila kujua?

Huoni utawaanikia magaidi taarifa zako muhimu? Unakodisha vipi kitovu cha uchumi wako?

Kuna mikataba mingine hayati JPM alisema inaweza kusainiwa na vichaa tu.

Nimekwambia kwa nia njema kabla hayajakufika.
Remote IPO MSOGA, Hajui afanye Nini 8Bi TOZO
 
Nawaza na kuwazua, nani hasa ni "stupid"?!!!
 
Umeandika porojo nyingi, kuhusu bandari ya bagamoyo labda hili ulikuwa hukijuwi:

Huu Muungano unaigharim sana Tanganyika hakuna faida yoyote tunayopata toka Visiwani zaidi ya kuingia hasara tu
 
Umeandika porojo nyingi, kuhusu bandari ya bagamoto labda hili ulikuwa hukijuwi:

Pimbi wa msoga nyie, mnapenda vya bure mtaolewa
 
Maandamano yakianzishwa, wavaa nguo za mabaka baka wanasema watapiga watu na kuvunja miguu,

Sasa nani anataka ulemavu wa ukubwanii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wanavyopenda ugali na kitimoto
 
Back
Top Bottom