Bank tellers ni wezi wa kimya kimya, kuweni makini

Bank tellers ni wezi wa kimya kimya, kuweni makini

Kuna benk juz kati nlienda kufungua Account kianzio nkaweka 22000 nkakabiziwa kadi baada kupewa kadi nkatakiwa kuweka namba ya Siri sasa apo kwenye namba ya siri ndo wizi unapofanyika .wana kimashine kama cha Selcom kile unaweka kadi anakichukua muhudumu wa Benk anabonyeza bonyeza anakwambia weka Namba ya siri mpya unaweka anakickukua tena yeye anachomoa kadi sasa kabla ajachomoa kadi anachomoa pesa alafu ndo anachomoa kadi anakupa Hii nchi kuna wizi wa kis**nge adi inaboa
 
ukipewa mashine popote weka namba za siri kisha click next,next hadi utoke eneo la namba ya siri ndio unampa kimashine chake aendelee nacho.
 
Kwenye Milioni 2 ukiibiwa elfu 3000 kwani kuna shida gani!!! Wachaga mnawaza sana hela na ndo maana ukimkuta mchaga mnene ujue huyo ni maskini....
Asa si bora uniombe kwann uichomoe bila mimi kujua?

Kuna vitu vingine vyakusema tu,mtu anakupa zaidi ya hiyo elfu 3 ila sio kunchomolea.
 
Huo Mchezo wanao sana na ni tabia zao unaweza ukadhani hapati marupu rupu pale ila washenzi wale wanatupiga hela sana.

Ukimpa hela muangalie mwanzo mwisho ukijifanya unawaamini kitakukuta kitu siku.
Teller wa bank of Africa tawi la Arusha mwaka 2014 alinipiga 26000 nimempa Kia's hicho akiingize kwenye account ya brack nashanaga anasema nimempa elf laki 2 tu
 
Dunia inahamia kwenye digital money kumbe kuna watu bado mnatembea na mabegi yaliyojaa mabunda,hayo mambo kizamani sana
Digital money ni huko duniani kwenu mkuu sisi tunaopokea hela za wauza mkaa,wauza magenge,mama ntilie wanatuletea Pesa Live...

Na pia huwezi fanikisha digital money bila kuwa na pesa ya kushikika.

Fine, unataka kwenda kutuma pesa Western Union mpka ufike kwenye hilo tawi Utapanda dala dala Digital Car?

Jiweke nafasi ya Fundi Maiko
 
Usisahau na hili.ukishtukia umepewa pesa bandia bank usijaribu kuwaambia wamekupa pesa bandia"

Ukifanya hivyo uta pigwa chini ya ulinzi na polisi walinzi na kupewa kesi ya uhujumu uchumi

na si hayo tu pia ni wa choleshaji kwa wale wazee wa front/gun man
Noma sana!
 
Kwa hao wazee wa gun ni kweli kabisa! Wiki kama mbili zilizopita mume wa rafiki yangu alisindikizwa na hao wazee wa mambo...!
 
Back
Top Bottom