Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

Sasa mbona hizo shule zenye walimu wazuri unasosema zinachemka kwenye matokeo kila siku? Tatizo ni nn mkuu au wanatungiwa mitihani tofauti?
 
Madogo wameitendea vyema shule yao.View attachment 2883018
Shule yangu pendwa.
Enzi hizo uko form V unakutana na dogo wa form two anasolve kitabu fulani hivi kinaitwa abort dogo amekunja sura kinyama

Sasa unajiuliza me nimetoka st kayumba abort nimeijua niko form four huyu dogo form one ndo anapumzikia hiki kitabu daah unachoka kbsa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…