Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
....Lolote lile linawezekana banaaa....Kumbuka kikulacho kinguoni mwako...Shibuda anaweza kutaka kujionyesha mbele ya jamii ya Watanzania kwamba hayuko karibu na kiongozi yeyote yule wa CHADEMA lakini si ajabu ndiye mratibu mkubwa wa mikakati ndani ya CHADEMA ili kukisambaratisha. Juhudi za Shibuda zinaeleweka kwa miaka mingi sasa.



Shibuda yuko karibu na kiongozi yupi mwandamizi? Zitto ametaja mtu kuwa na multiple ID, we kwa akili yako unadhani Shibuda anaweza hata kutumia Kompyuta? Shirikisha ubongo mkuu..
 
Zitto umeni impress! I trusted u and sitaacha kukutrust! Wewe ni kichwa na sisi tuko nyuma yako, tumeshachat mala nyingi
 
Safiiii sana zito nakukubali sana ur president to be!
 
Nimesoma kwa makini maelezo ya Zitto. Nina wasiwasi yeye kuhusika kwenye hii michezo. Kwanza ni ukaribu wa yeye na Msaki. Kulikuwa na mawasiliano kati ya Ludovick na Msaki, je Zitto hakujua nini rafikiyake anaongea na Msaki? Mwigulu kuongea hbr za viongozi wa CDM kupanga mauaji(video) alikuwa na Zitto na Mtatiro, je Kwann hakulipinga kwa nguvu zote? Au alijua nini kinafanyika? Hiyo barua imevuja ikiwa kwake or kwa katibu mkuu? Kama ni kwa katibu mkuu mbona haina sahihi? Je haiwezikuwa imevujakwake kabla haijamfikia katibu mkuu? Kwanini iwekwe mtandaoni baada yakikao kumalizika cha kamati kuu? Au ni baada yakuona muafaka umefikiwa ambao yeye hakuutarajia? Kwanini katika maelezo yake amequote maelezo ya mwkt kuwa ikithibitika lwakatare alishiriki awajibishwe?
 
Padri Slaa anatakiwa akiuzulu haraka sana amuachie kamanda Lema awe kaimu katibu mkuu mpaka uchaguzi wa chama ufanyike. Kamanda Lema awe mgombea wetu wa urais kwa kupitia chadema.

kulekule kaskazini kama kawa
 
Safi sana Zitto kwa kutoa ufafanuzi MAKINI wa barua ambayo haina sahihi yako.MUNGU azidi kukupa HEKIMA NA UVUMILIVU.kuhusu kirusi ulichokisema(KIRUSI=MSALITI) nakipa pole kwa sababu Hakuna Msaliti ambaye anabaki salama baada ya Usaliti maana usaliti ni sawa na uuaji.YUDA ISKALIOTI baada ya kusaliti Hakubaki SALAMA.na ndivyo ilivyokavyokuwa kwa kila msaliti.
 
Shibuda yuko karibu na kiongozi yupi mwandamizi? Zitto ametaja mtu kuwa na multiple ID, we kwa akili yako unadhani Shibuda anaweza hata kutumia Kompyuta? Shirikisha ubongo mkuu..

wapo pale makao makuu tu.
 
Nimependa michango mingi humu, ila mtu kama manyerere jackton! Is like shetani akuhubilie uenda mbinguni! Mnafikiiii!
 
mbona anabwabwaja tu et id mbili za aliye post

Ndio nini sasa ulichoandika....wakati wenzako wanasoma somo la mwandiko darasa la pili,wewe ulikuwa wapi???
You always live in assumption and this seems to be extremely difficult for you to get rid of!
 

Teh teh kijana...uko sawa lakini nadhani una uvulivuli kidogo katika masuala ya Public Relations na organization social responsibility!
Nakupongeza kwa majibu mazuri...ila ukiongozea na principles kidogo za political science...utakuwa very superb!
 
Zitto wewe ndilo tatizo la kushughukia. Unajinadi kama mwanademokrasia lakini umekuwa mtengeneza matatizo badala ya kutatua.

Kama nia ni kukishauri chama ambacho wewe ni sehemu ya waandamizi, kulikuwa na haja gani kuandikiana barua? Halafu cha ajabu eti umeandika kama Zitto na sio Naibu Katibu Mkuu. Kweli?

Maamuzi magumu yapi utachukua kama suala la Lwakatare halitashughulikiwa kama unavyotaka wewe? Kuhama chama? Hivyo ndivyo ubavyokisaidia chama?

Tukisema wewe ndio hicho kirusi unachokidai wewe utakataa? Kisa cha kuja kukiri humu eti ile barua ni yako ila hukutana iwe public! Seriously?

Ndugu zangu huu ni ushahidi kuwa Zitto anajua vizuri huu mchezo unavyokwenda. Mbali na kutajwa kwenye ule mkanda na mkurugenzi wake wa mawasiliano (Msaki), juzi kaenda na huyo huyo Msaki kwenda kumwona Kibanda. Kwa nini?

This man wants to distant himself from CHADEMA and all he longs for ni sifa binafsi.
Atakuwa ameiandika yeye halafu akampa mtu aitundike ili tu kuonyesha mambo yalivyo magumu ndani ya chama.

CHADEMA mwangalieni sana huyu kijana wa Kiha. Hana nia yoyote njema na chama isipokuwa tamaa ya kuonekana anafaa pekeyake.

Mark my words: Mwisho wa siku Zitto atahama chama. Mnaomwamini fuatilieni mwone.
 

Traitor,

Your political days are numbered!
 

Leta ushahidi nilikokutaja.Najua sheria za JF.I can't be that stupid......

Hata wewe unajua......
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni sarakasi za Zitto kujisafisha na kuwaachia mzigo wenzake kwenye uongozi wa juu wa chama.Anajaribu kuwaaminisha wafuata mkumbo wengi wa jf wasiofikiri kwa mapana kuwa barua hii imelikishwa baada ya kufika kwenye ofisi ya Katibu mkuu na either Katibu mkuu mwenyewe ama watu walio karibu kabisa na katibu Mkuu.
Kwangu mimi naiona kama ni muendelezo tu wa vita kati yake na Saanane kwani bila shaka wafuasi wake na wale wa ccm watajaribu kumhusisha Saanane na ulikishwaji wa barua hii kwenye mtandao na hili ameliweka kwa makusudi maalum ili Saa nane aonekane na wanachadema kama ni kirusi ndani ya chama.
Hii barua itakuwa imelikishwa na Zitto mwenyewe ama na mtu wake wa karibu.
 

Barua haikusomwa kwenye Kamati Kuu! Siri imevuja ndani ya ofsi ya Dr Slaa
 
nimekupata vilivyo mkuu Zitto. Kirusi huyu inabidi ashughulikiwe mapema kabla mambo hayajaharibika ndani ya chama chetu.
 
Ben Saanane nimeona umeni taja eti mimi ni ID ya kundi maalumu...dah! Kundi gani?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…