msafiri.razaro
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,244
- 745
Hizi ni sarakasi za Zitto kujisafisha na kuwaachia mzigo wenzake kwenye uongozi wa juu wa chama.Anajaribu kuwaaminisha wafuata mkumbo wengi wa jf wasiofikiri kwa mapana kuwa barua hii imelikishwa baada ya kufika kwenye ofisi ya Katibu mkuu na either Katibu mkuu mwenyewe ama watu walio karibu kabisa na katibu Mkuu.
Kwangu mimi naiona kama ni muendelezo tu wa vita kati yake na Saanane kwani bila shaka wafuasi wake na wale wa ccm watajaribu kumhusisha Saanane na ulikishwaji wa barua hii kwenye mtandao na hili ameliweka kwa makusudi maalum ili Saa nane aonekane na wanachadema kama ni kirusi ndani ya chama.
Hii barua itakuwa imelikishwa na Zitto mwenyewe ama na mtu wake wa karibu.
Teh teh kijana...uko sawa lakini nadhani una uvulivuli kidogo katika masuala ya Public Relations na organization social responsibility!
Nakupongeza kwa majibu mazuri...ila ukiongozea na principles kidogo za political science...utakuwa very superb!
hii kitu niliwahi kuisema nikaonekana mtu wa ajabu
kuna weakness ya handling ya kesi ya lwakatare upande wa chadema kama chama
i am just trying ti imagine leo kinana akiwa na kesi inayofanana na ccm ikasimama kidete kumtetea, je wananchi wataelewa??
imefika wakati chadema inatakiwa iangalie outside the box na isiwe inakurupuka kwa kutmuia ushabiki na moyo tu
Mkuu kama ni mfuatiliaji mzuri wa siasa za ndani za chadema pamoja na matukio ya hivi karibuni, na kama umeisoma post iliyoweka hii thread utagundua kuwa vita ya Ben Saanane na Zitto ni kubwa
Mkuu pengine ungekuwa na IQ ya kukutosha usingeandika hilo nililo highlight .
Matatizo ya watu kama ninyi ni ku infer kitu chochote mradi kina kidhi mapenzi yako.
Kwa taarifa yako mpango wa mradi wa Mbutu ni umetayarishwa siku nyingi kuwaendeleza watanzania kufikia kiwango cha kitaifa na kimataifa.
Siasa zenu za njaa, mradi unatukuza chama chenu zinaashiria upeo mdogo sana wa imformative data na hivyo kupendelea hisia zaidi kukitukuza hicho chama chenu.
Kwa hakika sifa za utelezi wa mgongo wa chupa hazitawafikisha mbali sana.
Sina hata chembe ya shaka kwamba wewe ndiye umekurupuka na unahitaji kufikiria outside the box.
Lwakatare ni kiongozi wa Chadema tena ngazi ya Taifa halafu unashauri kwamba chama kikae nae mbali? Huo hauwezi kuwa ushauri na waliokuona wa ajabu hawakukosea.
Tafuteni jingine la kusema kwakuwa hili la Lwakatare msimamo wa Chadema uko very clear na sisi wanachama tunauunga mkono msimamo huo.
You are right mkuu.
Kama ile barua ni ya kweli Zitto amekiri Mods waifungue ule uzi watu tujadali.