Mkuu mi nakunaliana na wewe kwa 101%... Nilichoandika ni kufuatia mtiririko wa matukio, zikiwemo threads na posts humu JF zilizolenga kujenga uhasama kwa Zitto, bila sababu ya msingi na kwa ushahidi dhaifu.Hapo kwenye blue sijakuelewa.Lakini napenda kutoa maoni yangu kuwa,kipindi hiki ni kipindi cha kila mtanzania mwenye moyo wa ukombozi kuchukua tahadhari kwa lile alisemalo au analoliandika ili mwisho wa siku nchi hii ikombolewe mikononi mwa mafisadi.Mh.Zitto amaeleza kwa uwazi na ameeleweka,lakini wachangiaji wa hoja ya Mh.Zitto tuwe makini tusijekuleta mgawanyiko usiokuwa na maana.Nijuavyo mimi Dr.Slaa ni katibu mkuu wa CDM na MH.Zitto ni katibu Msaidizi,sasa hizi story za watakuja kwa jina la Slaa zinatoka wapi? Msaliti anaweza asije kwa jina la mtu akaja kwa jina la chama huyo utamfanyaje? Kila mmoja wetu akiwa mlinzi wa CDM hakuna atakayebomoa mshikamano uliopo,cha kuzingatia ni kwamba tujiepushe na makundi bali tuwe kitu kimoja kuelekea 2015.
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KITU KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.
NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.
5. Umakini wa Kiongozi huonekana wakati wa changamoto kama hizi!
Asanteni
katiba yetu inasema mtu yeyote aliyeshitakiwa hana hatia hadi pale itakapothibitika kuwa alitenda kosa husika. hivyo sio busara kama chama kumhukumu kabla ya hukumu ya mahakama
kumbukeni sio kila aliyeko gerezani ni kwasababu ana kosa la jinai kweli wengine vyama dola havitaki wawepo uraiani kwani wanavifanya visilale
tujiulize kama serikali inafanya kazi barabara mbona nchemba hadi leo hajashitakiwa kwa matusi na lugha ya uchochezi, mbona wauaji wa mwangosi hawajahukumiwa, mbona watesaji wa dr. ulimboka hatuwasikii n.k.
jambo lingine usishabikie mwenzio akipata matatizo hujui yatakayokupata wewe hapo kesho yanaweza kuwa mabaya kuliko ya lwakatare
acha unafiki wewe,wewe ndiye kirusi tajwa.mkuu,
mimi nina nidhamu.siwezi kuingia vitani na kiongozi wangu.....
Ninajikita zaidi kushirikiana na wenzangu kuijenga zaidi chadema.
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KITU KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.
NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.
Wewe ni lini umeanza akuwa na uchungu na CHADEMA?Kazi unayoifanya ya kuchumiatumbo na kukipeleka chama shimoni (ugaidi) ndio uchungu?Ni lini umekua na uchungu na Chadema wewe?Post zako za nyuma zinakuonyesha kuwa adui wa CHADEMA.Ni lini ulianza kukipenda?Najua unaudhika sana ninavyowaharibia mipango miovu dhidi ya Chadema.Na bado ...
jmushi1,
Sipendi kuandika sana mambo yanayonigusa moja kwa moja kwenye mtandao.Huwa ninakereka sana na kusingiziwa huku kunakotokana na jitihada za watu ambao wako frustrated.
Sijui ni kwanini mtu anihisi katika hili. jmushi1,sijajua ni kwanini umenihisi.Pengine una vigezo
Naelewa una uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.Na huku JF tumepambana sana pamoja tukiwa na Kichuguu na @Rev.Kishoka.
Wewe si mtu muoga,hebu sema hii conclussion umefikiaje
Kwa wanajamvi:
-Mimi sijahusika kwa lolote
-Mimi ni miongoni mwa watu wanaopinga maswala senstive ya chama kuwekwa public
-Kuna watu ambao hawaoni aibu katika hili.Akina my web , TUNTEMEKE, rais wa tano, Fringe, nice2 MsemajiUkweli , Shonza n.k wanajua huu mchezo wa kuanika vitu ambavyo havipo for public consumption humu.Hawa niliowataja ni ID za kundi fulani mahsusi
-Sijawajahi kupata access ya barua au docoment nyeti za chama changu na hata nikikutana nazo kwa sababu yoyote ile siwezi ku-ziweka public.Nakipenda chama changu,CHADEMA ni mti wenye matunda ambao nimekalia tawi lake.Siwezi kulikata kwa namna yoyote ile,ni bora nife kwa risasi,tindikali n.k kuliko kuvunjika kiungo cha mwili kwa upumbavu wa kukata tawi nililokalia.
Nawaachia wanaocheza michezo hii waicheze.CHADEMA tuendelee kuwa imara
Hoja yako inaingia akilini mwangu, huyu mama ana ajenda nzito. Pamoja na kuwa na Dr. Slaa kwa miaka kadhaa lakini hakuwa tayari kuwa Mwanachadema, fikiria mumewe ndiye Katibu Mkuu wa chama halafu yeye aendelee kuwa chama pinzani maana yake atavujisha siri zote muhimu kwa chama chake.
Pengine Chadema kwa kumzawadia Ubunge wa Viti maalum baada ya kuangushwa katika kura za maoni CCM, Chadema waliteleza kidogo badala ya kufikiria kumtuliza X-shemeji.
jmushi1,
Sipendi kuandika sana mambo yanayonigusa moja kwa moja kwenye mtandao.Huwa ninakereka sana na kusingiziwa huku kunakotokana na jitihada za watu ambao wako frustrated.
Sijui ni kwanini mtu anihisi katika hili. jmushi1,sijajua ni kwanini umenihisi.Pengine una vigezo
Naelewa una uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.Na huku JF tumepambana sana pamoja tukiwa na Kichuguu na @Rev.Kishoka.
Wewe si mtu muoga,hebu sema hii conclussion umefikiaje
Kwa wanajamvi:
-Mimi sijahusika kwa lolote
-Mimi ni miongoni mwa watu wanaopinga maswala senstive ya chama kuwekwa public
-Kuna watu ambao hawaoni aibu katika hili.Akina my web , TUNTEMEKE, rais wa tano, Fringe, nice2 MsemajiUkweli , Shonza n.k wanajua huu mchezo wa kuanika vitu ambavyo havipo for public consumption humu.Hawa niliowataja ni ID za kundi fulani mahsusi
-Sijawajahi kupata access ya barua au docoment nyeti za chama changu na hata nikikutana nazo kwa sababu yoyote ile siwezi ku-ziweka public.Nakipenda chama changu,CHADEMA ni mti wenye matunda ambao nimekalia tawi lake.Siwezi kulikata kwa namna yoyote ile,ni bora nife kwa risasi,tindikali n.k kuliko kuvunjika kiungo cha mwili kwa upumbavu wa kukata tawi nililokalia.
Nawaachia wanaocheza michezo hii waicheze.CHADEMA tuendelee kuwa imara
Hakika MASALIA BEN8 aliwatoa mbavu hamtakaa mcheke tena maishani mwenu na kwa chuki mliyonayo mngeweze kumchoma kwa mafuta ya PETROL. BIGUP BENNNNN.
- Ben Saanane,
- mpepo,
- naona vijana mpo patrol leo,Mchana alishinda Molemo na makene.Night nawaona vijana wa kazi.Poleni sana lindo limekuwa gumu.
Nilitegema Mpepo ndiye ajibu,Umekuja umejibu inatosha japo ni pumba,Habari yapatro; naona leo mmekabidhiwa hili eneo kwa sababu kuna thread ya zitto
Hii sentensi ujiambie wewe mwenyeweTraitor,
Your political days are numbered!
...si unajua "nyani uwa haonagi kundule", haiwezi kuwa ajabu kwa Ben kutouona mwisho wa safari yake ya siasa ata kabla hajaianza...Hii sentensi ujiambie wewe mwenyewe