Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mungu awape faraja wafiwa
Pia awape uponyaji majeruhi
Pia awape uponyaji majeruhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unaongea ujinga hivi unazani kuna mtu anaamka asubuhi anaenda rod ili akapate ajali. Udereva sio kama unavyochezaga magemu jaribu kuheshimu kazi za watuNi dereva ndio wa ardhini na Angani.
Ishu sio cha dk chache.. ishu ni Maamuzi sahihi ktk wakati sahihi. Ndio maana watu wanaenda Darasani kusoma udereva.
Udereva sio kuingiza na kutoa gia na kunyoosha steering tu.
Jibu kwa hoja, pinga kwa Hoja.. kabla hujala Tusi.We jamaa unaongea ujinga hivi unazani kuna mtu anaamka asubuhi anaenda rod ili akapate ajali. Udereva sio kama unavyochezaga magemu jaribu kuheshimu kazi za watu
Wewe una hoja gani hapo, gari bovu dereva anahusika vipi hapo, barabara mbovu dereva anahusika vipi, abiria wanataka gari ya kuwahi kufika bosi anataka gari zake zimalize safari mapema kwa muda alio weka dereva anahusika vipi.Jibu kwa hoja, pinga kwa Hoja.. kabla hujala Tusi.
Umeona sasa, kwanini nasema KOSA ni la DEREVA? kwahiyo gari mbovu wewe kama Dereva unaendesha hivyo hivyo kisa BOSS?hakumuambia bosi ubovu wa gari?.
Wewe sio dereva, labda uwe unaendesha gari ya shemeji.Umeona sasa, kwanini nasema KOSA ni la DEREVA? kwahiyo gari mbovu wewe kama Dereva unaendesha hivyo hivyo kisa BOSS?
Moja ya Majukumu ya Dereva ni kuhakikisha Chombo kipo salama, Abiria, na Yeye Mwenyewe pia na watumiaji wengine.
Ndio maana huku ktk Sekta ya Anga, kabla ya kutake off kuna Pre flight checks ambazo zinaambatana na Briefing after kufanya Airworthiness inspection. Na kama PIC siwezi kuanza/kuboard kama chombo kina shida, safety first.
Aende MAHAKAMANI alafu ajitetee et Boss alisema niendeshe hivyo hivyo..
Mjadala na wewe nimeishia hapa.Wewe sio dereva, labda uwe unaendesha gari ya shemeji.
Kumbuka dereva akigoma kuendesha gari maana yake ameacha kazi ndani ya dk5 atakuja dereva ambaye atakubali kuendesha gari bovu. Na vipi kwa yule alie acha kazi aje nyumbani kwako uumpe hela ya kuendesha familia yake.
Nb: hakuna dereva anataka kuendesha gari bovu ila kwa kua ndio magari yaliopo na wanafamilia zinawategemea inabidi waendeshe hivyohivyo.
SAWAMjadala na wewe nimeishia hapa.
Watu wana ujuaji wa kutokujua.Kwahiyo unataka iwe siri ili wasipate msaada baada ya kupata habari hii! Acha hizo.
Umeongea/umesema maneno mazuri/ya busara kwa kutoa ushauri/maoni juu ya tukio/ajali iliyotokea asubuhi/alfajiri ilihusisha treni/kichwa cha treni na basi/gari la abiria na kupelekea majeruhi/vifo ambamo wameumia/kuvunjika na wengine kufa/kufariki katika hii/hiyo ajali ambayo imeleta huzuni/masikitiko katika jamii hususani/mahususiUshauri mzuri sana.Kuna mtu/watu unakuta yupo/wapo bize kupiga picha ya mtu /watu anayehangaika/wanaohangaika ktk ajari badala ya kumsaidia/kuwasaidia,kwa kweli bado tuna safari ndefu.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
sio kila mtu mwokoziSasa na wewe Ingia kwenye zoezi la kusaidia wahanga badala ya kuwa bize na mitandaoni.
Habari zitapatikana tu.
Habari bila picha ni uzushiKwa masikitiko makubwa,, majonzi na huzuni naandika uzi huu kuwatangazia ajali mbaya iliyotokea eneo la Manyoni ukitoka Dodoma kabla ya kufika round about kati ya Bus la Allys lenye number ya usajili T 178 DVB na Kichwa Cha Train.
View attachment 2828159