Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14
Ni dereva ndio wa ardhini na Angani.

Ishu sio cha dk chache.. ishu ni Maamuzi sahihi ktk wakati sahihi. Ndio maana watu wanaenda Darasani kusoma udereva.

Udereva sio kuingiza na kutoa gia na kunyoosha steering tu.
We jamaa unaongea ujinga hivi unazani kuna mtu anaamka asubuhi anaenda rod ili akapate ajali. Udereva sio kama unavyochezaga magemu jaribu kuheshimu kazi za watu
 
We jamaa unaongea ujinga hivi unazani kuna mtu anaamka asubuhi anaenda rod ili akapate ajali. Udereva sio kama unavyochezaga magemu jaribu kuheshimu kazi za watu
Jibu kwa hoja, pinga kwa Hoja.. kabla hujala Tusi.
 
Jibu kwa hoja, pinga kwa Hoja.. kabla hujala Tusi.
Wewe una hoja gani hapo, gari bovu dereva anahusika vipi hapo, barabara mbovu dereva anahusika vipi, abiria wanataka gari ya kuwahi kufika bosi anataka gari zake zimalize safari mapema kwa muda alio weka dereva anahusika vipi.
kabla hujamuhukumu dereva angalia tatizo linaanza wapi.
kwa hii ajali ya baraka unazani dereva hakumuambia bosi ubovu wa gari?.
 
hakumuambia bosi ubovu wa gari?.
Umeona sasa, kwanini nasema KOSA ni la DEREVA? kwahiyo gari mbovu wewe kama Dereva unaendesha hivyo hivyo kisa BOSS?

Moja ya Majukumu ya Dereva ni kuhakikisha Chombo kipo salama, Abiria, na Yeye Mwenyewe pia na watumiaji wengine.

Ndio maana huku ktk Sekta ya Anga, kabla ya kutake off kuna Pre flight checks ambazo zinaambatana na Briefing after kufanya Airworthiness inspection. Na kama PIC siwezi kuanza/kuboard kama chombo kina shida, safety first.

Aende MAHAKAMANI alafu ajitetee et Boss alisema niendeshe hivyo hivyo.. utaenda kumpelekea Mikate na Soda.
 
Umeona sasa, kwanini nasema KOSA ni la DEREVA? kwahiyo gari mbovu wewe kama Dereva unaendesha hivyo hivyo kisa BOSS?

Moja ya Majukumu ya Dereva ni kuhakikisha Chombo kipo salama, Abiria, na Yeye Mwenyewe pia na watumiaji wengine.

Ndio maana huku ktk Sekta ya Anga, kabla ya kutake off kuna Pre flight checks ambazo zinaambatana na Briefing after kufanya Airworthiness inspection. Na kama PIC siwezi kuanza/kuboard kama chombo kina shida, safety first.

Aende MAHAKAMANI alafu ajitetee et Boss alisema niendeshe hivyo hivyo..
Wewe sio dereva, labda uwe unaendesha gari ya shemeji.
Kumbuka dereva akigoma kuendesha gari maana yake ameacha kazi ndani ya dk5 atakuja dereva ambaye atakubali kuendesha gari bovu. Na vipi kwa yule alie acha kazi aje nyumbani kwako uumpe hela ya kuendesha familia yake.
Nb: hakuna dereva anataka kuendesha gari bovu ila kwa kua ndio magari yaliopo na wanafamilia zinawategemea inabidi waendeshe hivyohivyo.
 
Mjadala na wewe nimeishia hapa.
 
Ushauri mzuri sana.Kuna mtu/watu unakuta yupo/wapo bize kupiga picha ya mtu /watu anayehangaika/wanaohangaika ktk ajari badala ya kumsaidia/kuwasaidia,kwa kweli bado tuna safari ndefu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Umeongea/umesema maneno mazuri/ya busara kwa kutoa ushauri/maoni juu ya tukio/ajali iliyotokea asubuhi/alfajiri ilihusisha treni/kichwa cha treni na basi/gari la abiria na kupelekea majeruhi/vifo ambamo wameumia/kuvunjika na wengine kufa/kufariki katika hii/hiyo ajali ambayo imeleta huzuni/masikitiko katika jamii hususani/mahususi
Upewe maua/majani yako bibie/babue
 
ZABURI 20:7-8

⁷ Hawa wanataja magari na hawa farasi, Bali sisi tutalitaja jina la Bwana, Mungu wetu.

⁸ Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama.

HILO NDILO NENO LA MUNGU. Poleni sana sana Ndugu zetu
 
Poleni sana majeruhi na wote waliopoteza maisha mungu awapumzishe mahali pema. Dah ila mwisho wa mwaka si mchezo yan ajari nyingi sana
 
Back
Top Bottom