Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada ni kwamba wewe ukiwa umevaa zile kanga zako za manjano huwa unawatenga mashabiki wa Simba???Jikite kwenye mada miss
Wamekaa jukwaa la simba na wewe umewaona ndiyomaana unawajadili hapa.Mission yenu mmefeli, mlipaswa kukaa jukwaa la yanga ili rangi za nguo zenu zionekane zaidi kwa sababu nyie mna nyekundu yanga wana kijani na njano ingetengeneza attention. Sasa mmekaa jukwaa la simba mmkekuwa kama kilo ya sukari kwenye pipa
Hapa tayari umeshapanic 😂Miss kavae sha..
Wageni wote mjini hapa walioamua kuanza kushabikia mpira wako Simba. Yanga passion bwana, sio ubishoo.😀
Kitendo cha yeye kuwaona aamini kuwa watu wengine pia wamewaona , so far no mission failed.Wamekaa jukwaa la simba na wewe umewaona ndiyomaana unawajadili hapa.
Nyie maUVCCM vaeni yale makanga yenu ya kijani na manjano hakuna wa kuwapangia.
Hawa wahuni ikitokea bahati mbaya chadema ichukue madaraka Basi ndo watakuwa wakuu wa mikoa wilaya nk.Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
View attachment 2041065
Hujaelewa nini!Umeandika nini?
Huko ccm mnakovaa rangi ya kijani wanasimba huwanyima kura? Au sio ubaguzi Kama ulivyodai bavicha wanaufanya? Siasa hizi za majitaka huko uvccm mtaziepuka lini?Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
View attachment 2041065
Umehamuka badala ya kuamka? Uliadimika mno hapa Mrs polepole! Wale wanaoalikwa Kila uchao kule ikulu si mabeberu ni malaika! Kunguni wa nape una shida!wanadhihirisha ubeberu
Kama zilivyokosa umuhimu za wanasimba huko wenu! Kunguni wa nape unataabika ukiwa wapi?Kura za wanayanga hazina umuhimu kwenu?
Kanuni za kuendesha mada lazima zizingatiwe.Jikite kwenye mada
Huna hojaKwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
View attachment 2041065