Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

Mission yenu mmefeli, mlipaswa kukaa jukwaa la yanga ili rangi za nguo zenu zionekane zaidi kwa sababu nyie mna nyekundu yanga wana kijani na njano ingetengeneza attention. Sasa mmekaa jukwaa la simba mmkekuwa kama kilo ya sukari kwenye pipa
 
Wamekaa jukwaa la simba na wewe umewaona ndiyomaana unawajadili hapa.

Nyie maUVCCM vaeni yale makanga yenu ya kijani na manjano hakuna wa kuwapangia.
 
Wageni wote mjini hapa walioamua kuanza kushabikia mpira wako Simba. Yanga passion bwana, sio ubishoo.😀

Kama kilichoanza kuumbika ni ardhi, sote tu wageni hapa Tanzania na Dare es salaam. Huu wote unaoonyesha ni ulimbukeni. Watu wote hili eneo ni wahamiaji. Tumepishana muda wa kufika tu. Sijui jeuri unaitoa wapi?

Na cha ajabu, waliochelewa kufika ndo wenye maendeleo zaidi. Wewe endeleza sifa ya kuwahi kufika.

Na hakuna sehemu imeandikwa kuanzia mwaka huu, waliofika Dar es salaam walichagua kushabikia timu hii. Hivyo, ushabiki uko mixed.
Wazo lako pia ni mfilisi.
 
Wangekaaje jukwaa la yanga na t-shirts nyekundu?
 
Kama bavicha wamekaa jukwaa la simba waambie uvccm wakae jukwaa la yanga kama hawazitaki kura za yanga si faida kwenu.Mtuachie jukwaa letu la michezo kwa sababu tanzania hakuna siasa ila kuna chawa wa siasa wanaosubiri uteuzi
 
Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.

View attachment 2041065
Huko ccm mnakovaa rangi ya kijani wanasimba huwanyima kura? Au sio ubaguzi Kama ulivyodai bavicha wanaufanya? Siasa hizi za majitaka huko uvccm mtaziepuka lini?
Huoni Kama unamwelekeza mwenyekiti wenu asiwape teuzi huko uvccm na ccm kwenyewe kwani Hamna sifa Bali ajitwalie TU huko bavicha wenye weledi na busara? Endelea kuwaharibia ccm ukidhani bavicha watanuna!
 
Back
Top Bottom