Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Kilichopunguza bei ya mafuta kwa Zanzibar ni kupunguza tozo na Serikali ya Zanzibar ku subsidies katika bei ya mafuta
 
Kuwalaumu Zanzibar wakati wao wanatumia kodi zao kuendesha serikali yao ni ujuha Zanzibar wana autonomy kitu ambacho Wa Tanzania wengi hawakijui sababu ya elimu ndogo
Sijui kama unajua maana ya autonomy

Pili, SMZ ina subsidize bei ili kupunguza gharama. Gharama za subsidy zinatoka 4.5% ya pato la Tanganyika. Zanzibar haina gharama zingine kama za Jeshi , mambo ya ndani, nje, muungano n.k.
Tozo mnazolalamikia zingine zinalipa mikopo ambayo Zbar hawalipi, gharama za muungano n.k
Kwahiyo SMZ ina kila sababu ya kufidia bei kwa Raia wa Zanzibar

Hizo bei za Tanganyika zimo za Zanzibar ndani yake! mnaelewa machogo!
 
Zenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Unapotosha we kima..Suala la mafuta na Kodi za ndani sio la muungano..Mafuta yao hayana matozo kama haya ya kwetu
 
Kwenu mafuta yako juu sababu ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania lililotunga sheria inayowagonga kodi kubwa hivyo kufikia bei hizo mnazolalamikia
Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania na co bunge la tanganyika??? Tanganyika tumeuzwa hatuna haki kwny muungano huu, serikali ya zanzibar ipo na inapanga mipango yake serikali ya Tanganyika haipo
 
Suluhisho ni muungao uvunjwe ama tuwe na serikali tatu... watanganyika tumekua kama yatima kisa huu muungano wa kipuuzi
 
Ina Maana uko Zanzibar Vita ya Ukraine haijawaathiri[emoji848]
 
Unapotosha we kima..Suala la mafuta na Kodi za ndani sio la muungano..Mafuta yao hayana matozo kama haya ya kwetu
Ulishajiuliza ni kwanini wao hawana Tozo nyingi na serikali inaendeshwa vizuri tena kwa kima cha chini na nssf kubwa kuliko Bara ? Guess what huwezi kuelewa labda uwe kima kama mimi.
 
Zanzibar ni mbali na Ukereini tofauti na huku bara
 
Kwani kuna mtu anawalaumu Zanzibar kwa kuuza mafuta bei ndogo kuliko bara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…