Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni
Hapo karibu kampuni 50 nimezikopa

Bado siwaoni Flex cash na Fini loan

Kuna moja hapo nilitest wakanitumia 150k

Nashukuru nimeiona hapo

ZimaCash Hawa Wana kiburi sana wananidai 190k,walinikopa 150k ,nilitakiwa kurejesha 190k ndani ya siku 7, gafla app ikasoma nirejeshe 237k kabla hata siku 7 hazijafika,nikawaambia wabadili wakagoma ,nikasema hawanijui vzr

Tabia Yao ya kuunganisha magrupu WhatsApp ikome

BOT mbarikiwe sana
 
Ila mkuu ujue unakula dhulma hela za wanaume wenzako hizo ungefanya kuwarudishia japo nusu hasara.
 
Wafunge na betting kampuni zimekua nyingi sana halafu uchwara
Mkuu ligi zinarudi weekend🤣🤣🤣mfano mpe Chelsea,arsenal,bacca,Madrid,man city,,,,,,gemu zote chukua pointi 10 weka laki Moja,,,,,baada ya makato utapata kama laki nane hivi,,,,,unataka wayafungie mabetingi tuende wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
BOT wamefanya jambo kubwa sana na linalostahili kupewa uzito wake hapa jukwaani.

Hatima BOT wameto orodha ya makampuni hayo leo tarehe 21/11/2024 ambapo ni makampuni yapatoyo 69.

Nawapongeza sana BOT japo wamechelewa.

Orodha hiyo kwa sasa inazunguka kwenye ma-group ya WhatsApp.

My take:
Hela za haya makampuni zilizoko kwenye mabenki(kama wanawake) zitaifishwe kabisa.
 
Back
Top Bottom